marcus rojo
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 1,496
- 5,320
Duh mama yako mnoko kinoma...Ni pale unapoanza kunawa kabla ya wakubwa then unaambiwa utoke nje ukatie mkono kwenye michanga ndipo urudi kunawa tena
😳 😳 😳Hhhhhhh... Aiseeh hii inatuhusu karibu wote humu kuna hii😛ale anapokupa nyama halafu anakukataza usile nyama mpk mwisho wa ugali
[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] hii inanihusu mkuuNi pale unapotoka kuoga then anakusugua ugoko kwa kidole, akikuta uchafu anakwambia urudi bafuni hata kama kuna baridi
[emoji3]Aseeh nani kama mama,... Leo Joseverest yuko wapi wadau!! "???,..isije kua anaugua atujui,
[emoji3] [emoji3] ukiidai unaambiwa imeshatumika!wakija wageni ukapewa hela anakwambiwa leta nikutunzie....