Tuchangamshe akili kidogo

Tuchangamshe akili kidogo

Ni historia na standardisation.
Kuna computer nyingi za zamani zilikiwa na 12 au 22 bits, zaidi ni maamuzi ya industry ya computer ili kusiwe na kutokiongiliana kwa vifaa/software etc.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Mi bado jamani naona kama swali halijajibiwaa vile ambavyo hata mimi nilitamani kuona linajibiwa ila sawa naendelea kusubili wajuzi mnifungue kwenye maswali hya kbla sijakimbilia google nikapambane na vingereza........
 
Hahahaaa.., watag mafundi wa hizi mambo mkuu maana google kuna kidhungu halaf kigumu hahaha
 
kiufupi tu, kompyuta hutumia memory cell (chumba) ku tunza binary digits 0 na 1,

kila cell huweza kutunza (address) digit moja tu at a time, 0 au 1,
ivyo basi total number of ways a cell can store a bit = 2 ( 0 na 1 makes 2 ) ,

hapa ni zile sample space, 0 au 1 ambayo huunda 2

kama una 2 cells , ina maana
00 , cell1 inatunza 0 , cell2 inatunza 0. AU
01 , cell1 inatunza 0 , cell2 inatunza 1. AU
10 , cell1 inatunza 1 , cell2 inatunza 0. AU
11 , cell1 inatunza 1, cell2 inatunza 1
izo ndo possible events za mpangilio, ambazo zipo 4

utaona kwamba kama una 3cells mpangilio ni huu
000,001,010,011,100,101,110,111
mpangilio ni 8.

kama una 4cells , mpangilio ni 16
kama una n-cells , mpangilio ni '2 raise n'
samaani kwa kukuwekea hesabu

mpangilio ndio mpango mzima wa kupima memory storage , ivyo basi haiwezi dondokea nje ya hii, 2,4,8,16,32,64,etc
Au kiwepesi ungesema katika mifumo ya kidigital tunatambua 1 na 0 na hivyo namba huwa zinakwenda kwenye mpangilio wa binary
004d74e639b9d11addb081b73642438e.jpg
 
Mi bado jamani naona kama swali halijajibiwaa vile ambavyo hata mimi nilitamani kuona linajibiwa ila sawa naendelea kusubili wajuzi mnifungue kwenye maswali hya kbla sijakimbilia google nikapambane na vingereza........
Mambo ya ki digital hutumia sana mfumo wa binary {binarynumber system} thus y hukuti namba kuangukia kwenye witri zaidi ya shufwa, yaani 1, 2, 4, 8, 16, 32
 
kiufupi tu, kompyuta hutumia memory cell (chumba) ku tunza binary digits 0 na 1,

kila cell huweza kutunza (address) digit moja tu at a time, 0 au 1,
ivyo basi total number of ways a cell can store a bit = 2 ( 0 na 1 makes 2 ) ,

hapa ni zile sample space, 0 au 1 ambayo huunda 2

kama una 2 cells , ina maana
00 , cell1 inatunza 0 , cell2 inatunza 0. AU
01 , cell1 inatunza 0 , cell2 inatunza 1. AU
10 , cell1 inatunza 1 , cell2 inatunza 0. AU
11 , cell1 inatunza 1, cell2 inatunza 1
izo ndo possible events za mpangilio, ambazo zipo 4

utaona kwamba kama una 3cells mpangilio ni huu
000,001,010,011,100,101,110,111
mpangilio ni 8.

kama una 4cells , mpangilio ni 16
kama una n-cells , mpangilio ni '2 raise n'
samaani kwa kukuwekea hesabu

mpangilio ndio mpango mzima wa kupima memory storage , ivyo basi haiwezi dondokea nje ya hii, 2,4,8,16,32,64,etc
Tatzo langu hesabu ila nimekulewa
 
Wakuu habari za usiku.,

Bila kuchelewa hapo kichwa cha habar kinajieleza, mimi kuna swala huwa najiuliza nakosa majibu ni kwanini inakuwa hivyo.,
Kwanza; Simu nyingi hasa smartphones(zilizonyingi na si zote) zina internal memory inayogawanyika kwa 8 yaani 8GB, 16GB, 32GB, 64GB and so on...na kwanini isiwe 7GB, 13GB na 21GB?
Pili; Computers specifically naongelea mpakato, zina bits 32 na 64 kwanini zisiwe 30 au 23 bits.?

Shukrani..,
Nawasilisha hoja..
Kuna kitu kinaitwa Digital Logic kwenye digital logic Luna binary number namba inayotambulika na computer ni 0 and 1
 
Ni historia na standardisation.
Kuna computer nyingi za zamani zilikiwa na 12 au 22 bits, zaidi ni maamuzi ya industry ya computer ili kusiwe na kutokiongiliana kwa vifaa/software etc.
Dah...inapendeza kweli hii?[emoji41] [emoji13] [emoji87]
 
kiufupi tu, kompyuta hutumia memory cell (chumba) ku tunza binary digits 0 na 1,

kila cell huweza kutunza (address) digit moja tu at a time, 0 au 1,
ivyo basi total number of ways a cell can store a bit = 2 ( 0 na 1 makes 2 ) ,

hapa ni zile sample space, 0 au 1 ambayo huunda 2

kama una 2 cells , ina maana
00 , cell1 inatunza 0 , cell2 inatunza 0. AU
01 , cell1 inatunza 0 , cell2 inatunza 1. AU
10 , cell1 inatunza 1 , cell2 inatunza 0. AU
11 , cell1 inatunza 1, cell2 inatunza 1
izo ndo possible events za mpangilio, ambazo zipo 4

utaona kwamba kama una 3cells mpangilio ni huu
000,001,010,011,100,101,110,111
mpangilio ni 8.

kama una 4cells , mpangilio ni 16
kama una n-cells , mpangilio ni '2 raise n'
samaani kwa kukuwekea hesabu

mpangilio ndio mpango mzima wa kupima memory storage , ivyo basi haiwezi dondokea nje ya hii, 2,4,8,16,32,64,etc
Dah....inapendeza hii[emoji4]
 
Mambo ya ki digital hutumia sana mfumo wa binary {binarynumber system} thus y hukuti namba kuangukia kwenye witri zaidi ya shufwa, yaani 1, 2, 4, 8, 16, 32
ahaaa hapa kidogo naanza kunywa madini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom