Tuchague sehemu ya kupumzika

mbona kama mapumziko yen mmeyafanyia pemben mwa reli
 
Karibu Pm tufurahie uhuru day pamoja.
 
Demu anaonekana mapepe kabisa tu
Type fulani hivi kutoka manzese..halafu ni wakawaida sana...
 
Kwa kujibinua huko acha tu awe tunda la uhuru na jamhuri
fikiria unaingia Jf unakutana na dada yako/mdogo wako au binti yako anaambiwa ni tunda la uhuru??vijana sijui mnakwama wapi?huu ni ulimbukeni kama ulimbukeni mwingine
 
Binafsi nishakuelewa hata aina ya uandishi wako unajidhihirisha!..Sasa ni hivi..we fanya kudondosha namba au nicheki PM hayo ni madogo tu wala usiogope...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…