Tubuni Olympic Kilimanjaro, 2050

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,169
23,860
kilimanjaro-top.jpg

Tuna theluji na baridi ya kutosha juu ya mlima Kilimanjaro.

Kamati ya Olympic na Bodi ya Utalii ikishifikiana na Mamlaka ya KINAPA, huu ndio wakati wa ku plan, Winter Olympic Kilimanjaro 2050.
 
Safi sana,kuna kipindi nilisikia wanasema barafu imeyeyuka kimebaki kiasi kidogo sana,kumbe zilikuwa story za walevi tu.
 
Tatizo sio barafu tatizo ni je tuna Maeneo na makazi ya kutosha kuwa hold washiriki wa iyo Olympic
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom