Habari wanajamii,,,
Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja....
Kitchen party nyingi ni kugaiana vyombo,kunakua na kungwi na Mc labda sana sana ni taarabu music na chakula...
Mdada anafundishwa mambo ya chumbani na mengine yakigusiwa ni machache...
Sasa mimi naona wanawake wenzangu tuboreshe party zetu..tufundishane mambo mbalimbali,kama jinsi ya kupambana na mahouse girl kutupindua cheo na kuwa maza hausi,maana wao ndio tishio letu number moja 😂😂😂😢😢😢😢😢(joke)
I think tuna challenges nyingi za kuzungumza kwenye kitchen party sisi kama wanawake na sio tendo la ndoa peke yake(ningependa mziodhoreshe na jinsi tunavyoweza kuimprove parties zetu ziwe kwa manufaa kwetu)
Mgeni mwenyeji.
Tanique.