Tuanze na lock inn kabla ya lock down!

kigogo warioba

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
6,048
9,392
Jinsi hali inavyoendelea kwa sasa hapa nchini, hatua zinazochukuliwa na serikali zinaonekana kuachwa na hii speed ya maambukizi, nashauri serikali ianze na mikoa iliyoathirika sana na covid 19 kwa kupiga lock inn, tunaona bado kuna mikusanyiko na watu hawazingatii social distance!

Chukua hatua usisubiri serikali kwa kila jambo corona ipo hapo ulipo!
 
Back
Top Bottom