Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,202
- 99,941
hahahhaaaaaa umenifurahisha sana sana
alisababisha mama msemwa aliyekuwa DED BAGAMOYO kufikishwa mahakamani, kwa wasiomjua MULONGO MAGESA kabla yakuwa DC BAGAMOYO alikuwa anafanya kazi TISS
Huu ni umbulula ss hapa mtoa mada ulitaka kuonyesha ujinga wenu wa Arusha! Kila la heri mkuu wa mkoa ujinga waousikuzuie kufanya kazi zako.[/QU
Rare YULE MKE WAKE SIYO MHAYA NI Mnyambo wa Karagwe maeneo ya Kishao karibu na Omurushaka.Wengi tunaomfahamu tulishangaa kupata hivyo vyeo, kwa kuwa kimaadili yuko bancrupt kwa kweli. Sijui kama ameshaacha kilaji? sijui kama yule mhaya anayekaa naye ameacha kumpangia cha kufanya, huwa hana usemi kabisa, wanaomfahamu ticha aliyekuwa msuluhishi wa kesi zake zisizokwisha itabidi tumtafute amshauri. Na wasiwasi mhaya ndiye anamwelekeza cha kufanya.
Kanga Aksante. Si unajua wata ni zangu wote wale. Ila kwa kweli sikubaliana sana na Magessa kwa yale anayofanya. Anajua kuwa hali ya kanda ya ziwa anakotoka licha ya utajiri raslimali umaskini umezidi kupaa. Watu kama Lema na wengine, waache tu wawaamshe hawa watu ili wasijiamini kwa kupitiliza kana kwamba nchi hii ni yao na famila zao milele. Huwa sipendi kuongelea maisha ya mtu na familia yake lakini huyu kaniudhi sana na nimemchukia sana na sitamsamehe. Ajifunze kwa Obama alipozomewa na wanafunzi alifanya kitu gani? ajifunze Nyerere alipokwenda kuongea na wanafunzi wa Chuo cha Sokoine miaka hiyo alifanya nini? Nadhani wanahitaji kujua kwa mapana na marefu mambo kutatua migogoro, badala ya kuchochea na kutanua migogoro na kuoneshana umwamba.Rare YULE MKE WAKE SIYO MHAYA NI Mnyambo wa Karagwe maeneo ya Kishao karibu na Omurushaka.
Rare YULE MKE WAKE SIYO MHAYA NI Mnyambo wa Karagwe maeneo ya Kishao karibu na Omurushaka.