Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,496
- 272,114
Bw. Mulongo ana shahada ya Biashara na Utawala ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kabla ya uteuzi huu alikuwa Meneja wa Kituo cha Biashara cha Mkoa wa Rukwa cha kampuni ya simu ya TTCL.
Aliwahi pia kuwa Mwalimu kwa muda katika Shule ya Sekondari ya Kibara na kufanya kazi kampuni ya simu ya Mobitel na kampuni ya vifaa vya ofisi ya Business Machine Ltd.
Kwa hiyo ni mmoja wa wauaji wa TTCL siyo ?