Tuambizane swala hili nisipata aibu

Kimetah

JF-Expert Member
May 8, 2013
1,049
188
Nimemridhia rafiki yangu wa kike sasa nataka nikamtambulishe nyumbani kwetu,,ni utaratibu gani huwa unatumika yan naanzaje?pls si utani wanajukwa..nawasilisha
 
Funguka zaidi ili wanajamvi waelewe je ni kabila gani unataka kuoa , kwani kila kabila lina utaratibu wake .
 
poa ila nilitaka kupata utaratibu kwa ujumla na sio specific kwa kabila
hahahaha sawa mkuu. Nijuavyo mimi huwezi kuchanganya taratibu za kihaya na kisukuma au kichaga na kimakonde. Ndio maana nikatangulia kukuuliza je unaoa kabila gani. Anyway wanaojua taratibu mchanganyiko watakujuza na pia njia rahisi ni kumuuliza mchumba wako aende akakuulizie kwao . Maana huenda familia simple haina makuu, au ni familia inayofuata mila hata kama iko mjini. Naamini mwenye msaada mzuri ni mchumba wako. Kwani si vema kujifanya mjuzi kabla hujapeleleza kwao wangependelea taratibu zipi.
 
ungen help 2 kimtindo ata utaratibu ulotumia wewe au hata waliotumia ur frnds utanipa mwongozo mzura
 
Mmh kama ni kumtambulisha nyumban kwenu,unatakiwa uangalie kwanza upande wenu watamchukuliaje huyo mchumba wako,kikabila,din mnashea..ongera sana kwa kuwa muwaz ktk mahusiano yako
 
me na ye 2shaafikiana kimebaki kumtabulisha
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom