Tuambie yupi amekuwa mwanasiasa wako bora 2017

K M S

JF-Expert Member
Dec 18, 2016
524
424
Tunaelekea kuumaliza mwaka 2017 sasa twaamini tutavuka salama yapo mambo mengi yamejitokeza mwaka huu haswa kwa upande wa siasa tumeona wengine wakihama vyama wengine waki pata misukosuuko lakini yote kwa yote siasa zinaendelea .

Je, kwako mwanasiasa gani amekua bora kwako!!? Mwaka 2017
 
Back
Top Bottom