Tuambie umeelewa nini hapa?

Anakifanya hamtaki huyo kuku.ila kutoka moyoni anamtamani vilivyo
 
Kuku wa kijani ananukia kinoma.

Mzee anapiga ma calculations, moja haikai mbili haikai.
 
Kuna kila dariri ya kugeuka nyuma aludi atokako njaa imeingia huko aendako
 
hana tabu anajua upande wa pili mambo yako kama walivyopanga
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…