Sisi waafrica utaratibu ni huo...sio biashara tu hadi nyumba hadi watoto wanafanyiwa zindiko ni mila na desturi za enzi na enzi..Kuna mjadala niliukuta mahali jana kuwa ni lazima kuzindika biashara na kwamba asilimia 90 ya biashara hapa bongo mfano wenye maduka huwa wanazindika biashara zao
Haya maneno sikuyaamini kwamba kila biashara au kila frem ninayoiona kila mmiliki keshatembea kidogo
Nikasema mbona ni asilimia kubwa sana?Maana kulingana na wanavyoongea ni kwamba ni jambo ambalo limekua kama la lazima hivi
Binafsi nikiri ukweli kuwa hata mimi nimefanya hivyo, japo maeneo niliyoweka frem hapana changamoto yoyote ila nilishauriwa na jamaa angu mmoja nifanye hivyo nikafanya lakini naona ni kawaida tu kwangu wala sioni maajabu yoyote ni miaka 2 sasa imepita
Swali kwa mnaomiliki biashara jee kuna ukweli?Jee umezindika biashara yako ili watu wasikuchezee au mambo ya chuma ulete?
Sio imani potofu ni aina tu ya mtindo wa maisha kama vile unavyoamini kwenye dua au kusali basi wapo pia wanaoamini kwenye desturi hizi na ndio za muda mrefu sana huku ukanda wetu.Ni imani potofu, na kwakua bongo wajinga hawaishi basi tawire wanapiga mpunga kama kawa
Huo ni ushamba,na upungufu wa matumizi ya akili,mchawi wa biashara yako ni wewe mwenyewe,unamhudumia mteja wako kwa nyudo na jeuri,au ukiwa mlevi,au kwa lugha chafu,au kwa kuto mjali halafu unaenda kwa mganga biashara ngumu 🤔.Utakuwa mwehu wewe 😂Kuna mjadala niliukuta mahali jana kuwa ni lazima kuzindika biashara na kwamba asilimia 90 ya biashara hapa bongo mfano wenye maduka huwa wanazindika biashara zao
Haya maneno sikuyaamini kwamba kila biashara au kila frem ninayoiona kila mmiliki keshatembea kidogo
Nikasema mbona ni asilimia kubwa sana?Maana kulingana na wanavyoongea ni kwamba ni jambo ambalo limekua kama la lazima hivi
Binafsi nikiri ukweli kuwa hata mimi nimefanya hivyo, japo maeneo niliyoweka frem hapana changamoto yoyote ila nilishauriwa na jamaa angu mmoja nifanye hivyo nikafanya lakini naona ni kawaida tu kwangu wala sioni maajabu yoyote ni miaka 2 sasa imepita
Swali kwa mnaomiliki biashara jee kuna ukweli?Jee umezindika biashara yako ili watu wasikuchezee au mambo ya chuma ulete?
Umeulizwa je, umezindika biashara yako? Wewe unaanza Ni Imani potofu, hajauliza Kama Ni Imani potofu.Ni imani potofu, na kwakua bongo wajinga hawaishi basi tawire wanapiga mpunga kama kawa
imani ni kuwa na uhakika, jina la Yesu ni nguvu itendayo muujiza omba lolote kupitia jina hili utapata amani na ulinziKuna mjadala niliukuta mahali jana kuwa ni lazima kuzindika biashara na kwamba asilimia 90 ya biashara hapa bongo mfano wenye maduka huwa wanazindika biashara zao
Haya maneno sikuyaamini kwamba kila biashara au kila frem ninayoiona kila mmiliki keshatembea kidogo
Nikasema mbona ni asilimia kubwa sana?Maana kulingana na wanavyoongea ni kwamba ni jambo ambalo limekua kama la lazima hivi
Binafsi nikiri ukweli kuwa hata mimi nimefanya hivyo, japo maeneo niliyoweka frem hapana changamoto yoyote ila nilishauriwa na jamaa angu mmoja nifanye hivyo nikafanya lakini naona ni kawaida tu kwangu wala sioni maajabu yoyote ni miaka 2 sasa imepita
Swali kwa mnaomiliki biashara jee kuna ukweli?Jee umezindika biashara yako ili watu wasikuchezee au mambo ya chuma ulete?
Hapana binafsi nna biashara mbili wako vijana na wadogo zangu na hakunaa ht 1 niliozindikaKuna mjadala niliukuta mahali jana kuwa ni lazima kuzindika biashara na kwamba asilimia 90 ya biashara hapa bongo mfano wenye maduka huwa wanazindika biashara zao
Haya maneno sikuyaamini kwamba kila biashara au kila frem ninayoiona kila mmiliki keshatembea kidogo
Nikasema mbona ni asilimia kubwa sana?Maana kulingana na wanavyoongea ni kwamba ni jambo ambalo limekua kama la lazima hivi
Binafsi nikiri ukweli kuwa hata mimi nimefanya hivyo, japo maeneo niliyoweka frem hapana changamoto yoyote ila nilishauriwa na jamaa angu mmoja nifanye hivyo nikafanya lakini naona ni kawaida tu kwangu wala sioni maajabu yoyote ni miaka 2 sasa imepita
Swali kwa mnaomiliki biashara jee kuna ukweli?Jee umezindika biashara yako ili watu wasikuchezee au mambo ya chuma ulete?
Sawa mkuu, umenipanua akiliSio imani potofu ni aina tu ya mtindo wa maisha kama vile unavyoamini kwenye dua au kusali basi wapo pia wanaoamini kwenye desturi hizi na ndio za muda mrefu sana huku ukanda wetu.
Wewe ni mshirikina, huna lolote zaidi ya uchawiKuna mjadala niliukuta mahali jana kuwa ni lazima kuzindika biashara na kwamba asilimia 90 ya biashara hapa bongo mfano wenye maduka huwa wanazindika biashara zao