TUAGIZE TUKULETEE ULIPO

TUAGIZE TUKULETEE ULIPO

boyson onlye

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2015
Posts
1,108
Reaction score
1,400
Habarini wakuu

SON OF AFRICA COMPANY LTD

Sisi ni vijana wa kitanzania ambao tunafanya shughuli mbalimbali ila leo ninaleta hii nyingine ambayo tunaianzisha ni nyumba kwa nyumba/ofisi kwa ofisi/kijiwe kwa kijiwe

Kutokana na shughuli tofauti tofauti ambazo watu wanazifanya na wengine wanashindwa kufanya manunuzi yao binafsi kwa sababu ya kutokuwa na mda, karibu utuagize

Tuagize: tutakuletea mzigo kutoka sehemu yoyote ndani ya dar as salaam yaani iwe kukunulia dukani na kukuletea, kwenda kuchukua mzigo mahali A kwenda mahali B,

Mizigo ya kununua: utatutumia picha na maelezo yote kuhusu mzigo kama duka linalouza huo mzigo unalijua utatuambia kama haulijui sisi tutakutafutia, utatuma 30% ya bei baada sisi kukutumia picha ya mzigo kutoka dukani (baada ya kuupa/kuona mzigo Dukani) then kiasi kingine utalipia baada ya kukufikia mzigo wako, na gharama ya kuagiza ni 10000 usafir utalipia wewe,

Mizigo kama vile: simu, nguo za aina zote, viatu vya aina zote, machine, saa za aina zote, TV, deki, perfume, spray, mafuta n.k

Mawasiliano
Whatssap 0688393663
Instagram: son of Africa
 
Back
Top Bottom