Tuachieni Nyerere Wetu

Waislamu mtabaki kulalamika hivyohivyo, kufanya kazi kwa bidii ni sumu yenu.......
Mwanakondoo ajinasibisha kuwalingania waliopotea kumbe yeye kapotea zaidi ya wale anaowalingania.
Uadilifu na imani ya kweli ni ngozi ya kondoo kwa chui.
 

Wacha uongo wako we mtoto!
Unasema huyo MDINI ALIKUWA KIPENZI CHA WATANZANIA!?
WE HUNA HAYA? AU HUNA ELIMU?
Huyu umuitae baba! Ametuachia nuksi ya MFUMO KRISTO. na mpaka leo watu wanauawa kwa ajili yake!
Halafu unasema alikuwa kipenzi??nfnsssssssss!
Ama kweli wewe umetuvunjia heshima waungwana wengi sana humu!!
 

Hicho kitabu kinaweza kabisa kikawa moja ya hizi propoganda ninazo sema.

Misingi endelevu ni hivi hebu jaribu kwenda usa leo ujaliwe kuwa rais wao. Halafu uwe fisadi au uchezee katiba yao uone utakacho fanywa.

Sasa jiulize Nyerere kakuachia katiba gani na misingi gani ya kuisimamia na kuilinda hiyo katiba. Huu ni mfano mmoja tu ipo mingi sana jaribu kuitafuta.
 
Kutangazwa mwenye Heri
Kwa taratibu za Kanisa Katoliki,
mchakato wa kumtangaza Mwalimu
Nyerere kuwa mtakatifu ulianza
mwaka 2005, na tayari kanisa hilo kwa
kibali rasmi kutoka Roma makao ya
Baba Mtakatifu, limeshamtangaza
kuwa mwenyeheri.
Kuwa mwenyeheri ni hatua ya kwanza
ya kuingia utakatifu. Wakristo
wakatoliki wameanzisha sala maalumu
na kufanya maombi kwa nia ya
maombezi yake ili aweze kutangazwa
kuwa mtakatifu.
Ibada ya kwanza ilifanyika katika
kanisa kuu la Jimbo la Musoma, na
kuongozwa na aliyekuwa askofu wa
Jimbo hilo marehemu askofu Justine
Samba.
 

Huyu lazima wakatoliki wamfanye mtakatifu!
Si kawabeba toka 1961! Kwa kuwakandamiza waislamu!

Sasa hakuna geni hapa!
 
Wakatooliki ndio hasa wanapaswa kumuenzi na hata kumwita mwenye heri heri na sasa baba mtakatifu maana alilitumikia sana kanisa kuliko alivyolitumikia taifa.
Tv zilipigwa marufuku,sabuni unapanga foleni kwa kutwa nzima na hata hivyo huambulii kitu.
Kanisa katoliki ndio lililonufaika na Nyerere kwa kupewa mabiliini ya pesa ili kuliimarisha kanisa na hata kufikia kumteua padri katika kamati mojawapo ya TANU ili kulinda maslahi ya kanisa.
 
nyerere at the age of 22 alikuwa ame achieve mambo mengi ambao wasomi wetu waleo wana achieve wakiwa na 50

kweli mwacheni nyerere wetu
 

Mokoyo usiangaike na hawa vijana wa kipata na gerezani mzee Mohamed Said amewaharibu
 
Last edited by a moderator:

harufu ya JIHAD
 
some people are alive bcoz its illegal to kill them.. kahtaan
 
Last edited by a moderator:

mawazo ya kigaiidi
 
some people are alive bcoz its illegal to kill them.. kahtaan

Try to tell the people who lost their loved one during nyereres era!

He couldn't care what is legal and whats illegal !
 
Last edited by a moderator:

Mkuu umesema vyema kabisa!
Baba mtakatifu wa UPAKO ! Nyerere!
Kaua wengi huyu!!
Mungu anamlipa huko aliko!!

Na huyo padri ulimtaja hapo juu alitoka ktk kanisa la lutheran na alikuwa waziri wa idara ya siasa na elimu ya TANU! 1973!
 
Try to tell the people who lost their loved one during nyereres era!

He couldn't care what is legal and whats illegal !

khaatan dont let your emotion decieve u
history has no place for emotion driven people like u
one leo tuna mkumbuka nyerere ambaye wewe ume mbrand mbaguzi na mdini

so far wewe ndo unaonekana mdini na mbaguzi
niliwahi kukwambia hii kwenye thread moja narudia tena leo
dont take things too personal
 
nyerere hawezi kuwa sababu ya ugumu wa maisha yako,ukilaza wako ndo sababu ya umasikini wako, taka usitake nyerere atabaki kuwa baba wataifa hili na hakuna jambo lolote linaloweza badili historia hiyo.
 
watu wenye akili fupi kama yako hamtakiwi kwenye jamii ya watu wastaarabu, kama nchi ni ya kikristu inakuwaje rais ni mwislamu ? acha kuiga mawazo mgando
 
nyerere hawezi kuwa sababu ya ugumu wa maisha yako,ukilaza wako ndo sababu ya umasikini wako, taka usitake nyerere atabaki kuwa baba wataifa hili na hakuna jambo lolote linaloweza badili historia hiyo.

Baba wa Taifa kwako na familia yako. Nachojivunia kwake ni kutuunganisha kuwa lugha moja ila ana UCHAFU mwingi kuliko Usafi.
 

You cant tell me what to do! I am Tanzanian born and bred!
I have all the rights to say what I believe to be right!
Wewe kama unataka kutukuza udhalimu basi endelea! Mimi nasema kilicho haki!
Nyerere alikuwa ni mdini mkubwa na mvujaji wa haki za binaadamu!
Alipanga sheria kwenye bunge lililoko chini yake za kunyanyasa watu na kufunga watu jela BILA KUPITIA MAHAKAMA!
Familia zilikosa wazazi kwa sababu yake!
Leo mnakusanyika kumtukuza muovu??
Hata aibu hamuoni? Au mnata kusema haya madai yangu ni ya uongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…