Tuacheni shobo nimekutana na classmate kanikataa hanijui

Itakua alikukaushia tu,mi nilikutana na classmate tena sihaonana nae not less than 8yrs,lakini sikujitambulisha,badala yake tuliitana majina kwa mshangao,tukabonga hapo... fresh.m
 
Its depend pia jinsi mlivyokuwa mnamuona kipindi mnasoma au labda wenzio walionyesha kumdharau humu mjini.... anajua wote ni wale wale...so now ametoboa hataki shobo na mtu..hili huwa linaathiri sana wengi kisaikolojia...ila cha msingi na wewe ukikutana na mtu unayemfahamu usishoboke sana ..we salimia ukiona amekukaushia acha nae ..ukiona anarespond vizuri na sura ya tabasamu mnaweza ongea mawili matatu....MIMI Nina principle moja..kama tulishawahi onana au ishi mahali naangalia your response usoni if haina mwitikio wowote nakukaushia ivo ivo kila mtu na hamsini zake.....
 
Haupo peke yako nimewahi kutana na mtu tumesoma Chuo kimoja na namjua vizuri Ila yule ni 🖕🏽🖕🏽🖕🏽 yaan alinikataa Posta pale chini ya Jengo la BMkapa kwamba eti hanijui kima yule hata sikutaka kumkumbusha nikapita wima pumbavu

Kuna mwingine nilikutana nae road nilikua napiga kazi sehemu sasa nikawa nimepotea nimesimama kazi miezi km mitatu nakutana nae road nampa hi ananishangaa namuuliza vipi yaan mtu miezi mitatu nyuma tulikua tunapiga story leo anajifanya hanijui eti nikampa 🖕🏽 alafu nikamkumbusha wewe kima mimi hujui tulikua wote ofisi fulani akaanza kucheka kwa nguvu sana hadi watu wakaanza kumshangaa nikamwambia kima wewe chukua na hii 🖕🏽🖕🏽🖕🏽 alafu nikapita wima
Punguzeni kushobokea watu.

Ukishamkumbusha kuwa mlisoma nae unataka afanye nini sasa?
 
Huwezi kumbuka watu wote hamuonani kila mara mmeshapotezana dunia ina mengi
 
Kiherehere cha kushobokea watu

Nimekutana na rafiki yangu ambaye tumesoma darasa moja toka la kwanza hadi form 4 , na tulikuwa tunakesha wote Kusoma huku tukiloweka miguu kwenye maji ili tusisinzie.

Matokeo yalivyotoka yeye akaendelea mbele mimi nikaanza kuingia kitaa

Leo nimekutana nae baada ya miaka zaidi ya 13 kasema hanitambui tena mbele ya watu na hana kumbukumbu ya jina nililomwambia.

Nimeona aibu sana licha ya kwamba lengo lilikuwa kusalimiana tu

Jamaa akajua ninataka kumpiga mzinga.

Kufwafwanzika kubaya sana tuache shobo na watu.
Watu kufananishwa kwa asilimia mia(100%) ni jambo la kawaida sana. Mimi binafsi ninasura komoni na nimekuwa na bahati ya kufananishwa kwa mema hapa Afrika Madhariki na ya Kati nisafiripo, shida siku nikifananishwa kwa mabaya sijui itakuwaje.
 
Mkuu ni yeye kabisa maana nilimuita kwa jina la shule na akaitika

Maana hata alivyokuwa akinijibu ni mtu aliyekuwa ananifahamu vizuri sema hakuhitaji shobo.
Asee hivi hamjaacha kujieleza kwa watu? Mkuu pambana kutengeneza maisha yako ili upunguze kujieleza sana kwa watu, ona sasa unavyopata fedheha bila sababu! Jijenge watu wenyewe watakufahamu bila hata wewe kuonana nao
 
Kitaalamu kwa tunaopenda mpira tunasema chenga ya mwili umepigwa

Chenga isiyo na madhara ya nje bali fikra ndio imepata mshtuko au
(stroke)lugha ya kitasha kidogo😁😁😁😁

Usikute sio yeye mkuu relax
 
Kiherehere cha kushobokea watu

Nimekutana na rafiki yangu ambaye tumesoma darasa moja toka la kwanza hadi form 4 , na tulikuwa tunakesha wote Kusoma huku tukiloweka miguu kwenye maji ili tusisinzie.

Matokeo yalivyotoka yeye akaendelea mbele mimi nikaanza kuingia kitaa

Leo nimekutana nae baada ya miaka zaidi ya 13 kasema hanitambui tena mbele ya watu na hana kumbukumbu ya jina nililomwambia.

Nimeona aibu sana licha ya kwamba lengo lilikuwa kusalimiana tu

Jamaa akajua ninataka kumpiga mzinga.

Kufwafwanzika kubaya sana tuache shobo na watu.
Duu inamaana pamoja ya wewe kuwa na maarifa ya kitaa Bado katoboa kabla yako
 
Wapo sana washamba kama hao.
Mimi kuna mmoja tulikuwa bweni moja (kitanda chake juu cha kwangu chini) baada ya miaka 5 nikakutana nae sehemu ya kazi nikamuita kwa jina lake tena lile aka yake jamaa akavunga kama hanijui.
Nikamwambia mwanangu sitaki maslahi ya SHEKELI wala PESEWA ni salamu tu ndugu yangu.Nikajikataa.

Baada ya kama wiki moja mwamba akaniona nasikia oya "Ngariba nasikia ile shule yetu pendwa imeungua moto umepata taarifa hiyo? Nikamwambia sijui
"Na vipi head master mnoko alishahamishwa pale skonga"nikamjibu sina taarifa zake pia.
Ila baadae tulikuja kuwa marafiki kuliko tulivyokuwa shuleni kwetu.
 
Hilinikuta hiyo mzee wangu cku moja nafika offcni kwangu hapa stendi msamvu ninakibanda changu nauza vifaa vya simu nimefika asubuhi kufungua nakuta watu wamekaa njee kwenye benchi watu wapo wa 4

Wanawake wa 2 na wanaume 2! Mwanaume mmoja nilimaliza nae O lever mwaka 2007 nafika namsalimia tena nimemuita mpaka jina akawa kimya ananishangaa wenzio Pia wanamshangaa maana jina nililomuita wanalifahamu baada ya dakika kma 2 nawambia wasogee kidogo nifungue offc yangu


Baada ya kuona offc ninayomiliki pale namuona katoa simu yake akampigia mtu mwingine ambae tulimaliza wote et nimekutana na moi stend hapa ongea nae hahahaha na mimi nikavunga kma cmjui wala cmu yake cjachukua zaidi ya kuwa bize na mambo yangu

Cjui hata halijisiakiaje aisee
 
Back
Top Bottom