EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,083
Umewahi soma chemistry kokote kule, unaijua lugha inayotumika kwenye chemistry ni lugha ya namna gani. Tena kuna maneno ambayo ukiulizwa wewe hata muda huu utabaki mdomo wazi. Kwenye chemistry wana solve problems hawajifunzi kiingereza mleKwa Hiyo unataka kusema mtu mwenye PhD ya Chemistry Asipojua kuunda sentensi ya Kiingereza na kuitamka vyema Kwako ni Sawa kabisa na tusimhukumu Kisa hana PhD ya Lugha ya Kiingereza? Huo ni mfano.
alikua na uzoefu na alipenda kujifunza, wapo watu wenye uwezo wa namna hiyo wanaweza kujifunza na fani zingine kwa kusoma vitabu wenyewe. Hata Elon Musk ni physicit, mchumi ni engineerSasa magu mbona kila sekta alikuwepo? na ulikuwa unatetea ?
Musukuma na Kibajaji wana professional gani??
Leo hii sababu kubwa ya kukwama kwa mradi wa LNG ni kutokana na Prof. Muhongo kuwafungua macho serikali how ‘Production Sharing Agreements’ works na negotiation terms za mambo mengine ya host country kama mazingira, faida ya jamii inayozunguka mradi etc.
Hizo credit apewi ila ukweli ni kwamba ni Prof. Muhongo ndio aliyepeleka sheria kwa hati ya dharura na kuaribu njama za kuinyonya serikali kirahisi.
Kwa hivyo Muhongo ana contribution kwa taifa kutokana na elimu yake tofauti na anavyosemwa bungeni; matter of fact kwenye maswala ya Oil and Gas kama raisi anahitaji independent second opinion kwa anayoshauriwa kabla ya kuamua Muhongo ndio kichwa chake ndani ya Tanzania.
Tatizo lake Prof. Muhongo ni kama vile kapagawa kuwa nje ya serikali and he deserve what he got; lakini kiuhalisia darasa la saba huyo mtu sio wa kujilinganisha nae kwenye Oil and Gas ni level kubwa.
Shule gani waliyompa zaidi ya mipasho, which I agree with kutokana na alichokisema kuwa na minajali ya kumponda hayati.Kama darasa la Saba anaweza kufika bungeni na kuwa sehemu wa watunga sheria na watu wanaopaswa kuisimamia serikali basi anaweza pia kumpa shule professor wako.
Bunge la kijani.
Leo hii sababu kubwa ya kukwama kwa mradi wa LNG ni kutokana na Prof. Muhongo kuwafungua macho serikali mara tu alipofika serikalini akitokea South Africa.
Prof ndio aliewaeleza how ‘Production Sharing Agreements’ works na kuwafunda kwenye negotiation terms za mambo mengine ya host country kama mazingira, faida ya jamii inayozunguka mradi etc; na ndio negotiations zimekwamia kwenye hizo aspects leo.
Hizo credit apewi ila ukweli ni kwamba ni Prof. Muhongo ndio aliyepeleka sheria kwa hati ya dharura na kuharibu njama za kinyonyaji za mabeberu mapema kabla serikali aijaingia kichwa kichwa.
Kwa hivyo Muhongo anayo contribution kubwa kwa taifa kutokana na elimu yake tofauti na anavyosemwa bungeni.
Matter of fact kwenye maswala ya Oil and Gas (pertaining upstream and midstream) kama raisi anahitaji independent second opinion kwa anayoshauriwa serikalini kabla ya kuamua Muhongo ndio kichwa chake ndani ya Tanzania. But not on downstream hana hizo business managerial skills za biashara ya mwisho.
Tatizo lake Prof. Muhongo ni kama vile kapagawa kuwa nje ya serikali and he deserve what he got bungeni kutokana na kauli zake; lakini kiuhalisia darasa la saba huyo mtu sio wa size yao kwenye Oil and Gas, Prof ni level kubwa sana