Tuache uzembe, siasa inalipa kuliko hata elimu

Tuache uzembe, siasa inalipa kuliko hata elimu

Haiku

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2018
Posts
2,941
Reaction score
2,084
Habari zenu wakuu. Ni wazi kwamba hakuna aliyefanikiwa hapa duniani kwa kuwa muoga kuthubutu kufanya jambo lolote lenye faida. Moja kati ya fursa ambayo wengi hanaogopa kujihusisha nayo ni siasa, aidha kwa kuiogopa au kuto itilia maanani.

Wapendwa tuacheni uoga na uzembe, we have to take risk. Yafuatayo ni marupu rupu ya ubunge.

1.Mshahara 3.8M kwa mwezi
2.Posho mwezi 8M
3.Posho kikao 240k
4.Kujikimu siku 120k
5.Pensheni 240M baada ya 5yrs
6.Bima ya afya daraja la kwanza wewe&familia.
7.Safari za nje
8.Mshahara bila makato ya Bima ya afya wala mifuko ya hifadhi za jamii.

Tafakari, chukua hatua. Iweje ukoo mzima akosekane Mbunge hata mmoja, hata kutia nia tu tuondoe mkosi.
 
Ubunge umefanya elimu idharaulike sana... maprofesa madokta wote wanautaka ubunge? Kweli kabisa ubunge ni dili kuliko elimu yan strd 7 tu mihela yote hiyo? Kwann vijana wetu waumize akili shuleni wakati shortcut ipo?.

Naunga mkono hoja
 
Ubunge umefanya elimu idharaulike sana... maprofesa madokta wote wanautaka ubunge? Kweli kabisa ubunge ni dili kuliko elimu yan strd 7 tu mihela yote hiyo? Kwann vijana wetu waumize akili shuleni wakati shortcut ipo?.

Naunga mkono hoja
Watu wanaacha profession zao wanaingia kwenye siasa

Ova
 
CCM wanashangilia utitiri wa watia nia ya kugombea ubunge kupitia chama lao la Joka la Kijani la Kishetani, lakini hii so dalili mzuri tunakoelekea tutakuwa kama Somalia kila mtu anataka kuongoza mwisho wake tutaanza kuzichapa kugombania madaraka ya kisiasa maana ndiyo kwenye maslahi. Watumishi hawajaongizewa mashahara kwa miaka Kitano,nani anataka umasikini na unyonge.
 
Back
Top Bottom