Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,101
Uwe unabadilisha na mazingira ya kulala na mkeo wakati mwingine unaenda hotelini au msafiri hata Wkend mnaenda mkoa fulani inaleta hamasa, hafu usiache show za nje zinaleta ufanisi nyumbaniNdugu zangu tuache unafiki kabisa tusime ukweli,yaani hata uowe mke pisi kali mrembo sana,ama Mwanamke mchapakazi anayejitambua!
Mwanamke wife material,mwanamke mwenye sifa zote,ukweli ni kwamba mke anachosha jamani duh!
Kuishi na mwanamke nyumba moja,chumba kimoja,kitanda kimoja yaani itafika kipindi utamchoka hata wakati wa sex utaona kama unapiga push up tu!
Mwanaume tuwe na tabia ya kusafiri mara kwa mara mke ukikaa nae siku zote 365 za mwaka utamchoka sana na kumchukia bure.
Hapo mwishoni umeharibu bwana. Unamshaurije mwenzako achepuke??Uwe unabadilisha na mazingira ya kulala na mkeo wakati mwingine unaenda hotelini au msafiri hata Wkend mnaenda mkoa fulani inaleta hamasa, hafu usiache show za nje zinaleta ufanisi nyumbani
Mwisho wa mwaka huu watu wanatafuta sababu za kuchepukaKuna mtu anamaliza mwaka vibaya huko
😂😂😂Mwisho wa mwaka huu watu wanatafuta sababu za kuchepuka
Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Aisee kama sio kivuruge mi namuona mpya kila saaNdugu zangu tuache unafiki kabisa tusime ukweli,yaani hata uowe mke pisi kali mrembo sana,ama Mwanamke mchapakazi anayejitambua!
Mwanamke wife material,mwanamke mwenye sifa zote,ukweli ni kwamba mke anachosha jamani duh!
Kuishi na mwanamke nyumba moja,chumba kimoja,kitanda kimoja yaani itafika kipindi utamchoka hata wakati wa sex utaona kama unapiga push up tu!
Mwanaume tuwe na tabia ya kusafiri mara kwa mara mke ukikaa nae siku zote 365 za mwaka utamchoka sana na kumchukia bure.
Finding legitimacy
Si wachepuke tu kimya kimya, kuliko kuja kujichoresha huku
Itamuongezea appetiteMuhimu kuomba sheria ipitishwe wanaume tuwe tunaoa wake watatu mpaka wanne , hata wakristo
Umeshakuwa maarufu mkuu kwa kuandika uzi wenye point kali kiasi hiki. Mnara wa Askari utolewe uweke wa kwako tafadhali.Ndugu zangu tuache unafiki kabisa tusime ukweli,yaani hata uowe mke pisi kali mrembo sana,ama Mwanamke mchapakazi anayejitambua!
Mwanamke wife material,mwanamke mwenye sifa zote,ukweli ni kwamba mke anachosha jamani duh!
Kuishi na mwanamke nyumba moja,chumba kimoja,kitanda kimoja yaani itafika kipindi utamchoka hata wakati wa sex utaona kama unapiga push up tu!
Mwanaume tuwe na tabia ya kusafiri mara kwa mara mke ukikaa nae siku zote 365 za mwaka utamchoka sana na kumchukia bure.
True unakuta mtu hamtunzi mke wake hamjali halaf at the same time amemkataza kufanya Kaz kisa alee watoto na hela ya matumiz haitoshi hapo bado hajampa stress za michepuko,unakuta mmama watu yupoyupo tu Hana Nuru usoni.mwanamke akitunzwa huwez kumchokaUzi wa kizembe huu....
Ukigongewa mke unyamaze kimya. Mpe thamani yake uone kama utamchoka..... Unless uwe na matatizo yako binafsi.
Mke ili anoge mtunze vzr kuanzia lishe mavazi, nywele na ngozi. Utakuja kuwaomba mods wabadilishe title ya hii thread
Kinachochosha kwenye ndoa nyingi sio kuzoeana tu , bali na majukumu tunayopewa wanaume wa ki afrika kama baba wa nyumba.Ndugu zangu tuache unafiki kabisa tusime ukweli,yaani hata uowe mke pisi kali mrembo sana,ama Mwanamke mchapakazi anayejitambua!