TUACHE UNAFIKI KIDOGO, TUONGEE UKWELI

UNa umri gani mkuu ..

Yaan unakaa chini nakuwazia binadamu wanasemaje kuhusu ww ???

Embu kuwa kwanza kiakili mkuu alafu ukishakuwa tuone km utawajali hata wakikwambia ww n mwathirikaa..
 
kua tajiri au maskini Tanzania ni uamuzi wako binafsi 🐒
 
Watu hawabadiliki, ila pesa inafungua zile tabia zilizofichwa. Kwa mfano mwingine ana roho ya kutoa ila hana cha kutoa. Mtu kama huyo siku akipata pesa kila mgalatia atafurahia maisha.
Watu hawabadiliki...
 
UNa umri gani mkuu ..

Yaan unakaa chini nakuwazia binadamu wanasemaje kuhusu ww ???

Embu kuwa kwanza kiakili mkuu alafu ukishakuwa tuone km utawajali hata wakikwambia ww n mwathirikaa..
😄 Mkuu, umri sio hoja hapa. Kila mtu ana namna yake ya kufikiri. Mimi nimeandika nilichokiona na nilichopitia, sio kwamba nimekaa chini siku nzima kuwaza watu watasemaje kuhusu mimi.

Na kuhusu “kuwa kiakili”, hakuna mtu anayefika mwisho wa kujifunza. Leo unaweza kumwona mtu hajui kitu, kesho akakufundisha jambo ambalo hukuwahi kulijua.

Kama umeona nimekosea, niambie nimekosea wapi. Hapo ndio mjadala unapokuwa na maana, sio kunihukumu mimi halafu hoja ikaishia hapo. 😄

JF tumezoeana sasa, lakini tusizoeane mpaka hoja zife. 😂
 
Kuna mwingine alikua anaandika nikisoma mpaka nasema mbona kama nimeandika mimi 😆😆
Sijui kapotelea wapi
Huyu nae katoka ku like mada zangu muda fulani naona kaondoka na idea jambo zuri lakini
😆😆 Inawezekana tuko wavelength moja tu mkuu. Ila kama umeona uandishi umeingia, basi hiyo ni pongezi kubwa kwangu 😂🤝
 
ni vizuri
Ila wasije wakatumia vibaya huo ujuzi kuandika ujinga kiasi cha kukuharibia sifa nzuri mwl wao.
Kuna mwingine alikua anaandika nikisoma mpaka nasema mbona kama nimeandika mimi 😆😆
Sijui kapotelea wapi
Huyu nae katoka ku like mada zangu muda fulani naona kaondoka na idea jambo zuri lakini
 
Watu hawabadiliki, ila pesa inafungua zile tabia zilizofichwa. Kwa mfano mwingine ana roho ya kutoa ila hana cha kutoa. Mtu kama huyo siku akipata pesa kila mgalatia atafurahia maisha.
Ndiyo kubadilika huko mkuu,wakati ukiwa huna gari ulikua unasalimia watu mtaani sasa umepata gari unaweka vioo tinted hutaki salamu hizo ni baadhi ya tabia, usifanye pesa ikucontrol ila itawale na ikutii ukitumia imrishe ili irudi tena maana inasikia so kuna somo la namna ya kutawala pesa sema mimi sio mzuri sana kwenye kushusha uzi,
 
Basi tuseme si kila anayepata pesa anabadilika kuwa mbinafsi kama ambavyo imezoeleka. Wapo ambao wakipata pesa wanataka kuhakikisha walio nyuma yao nao wanafaidika na hizo pesa.
 
Joined Aug 24, 2026 halafu mmezoeana JF, kuwa mkweli hebu tuambie ile id yako nyingine basi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…