tuache unafiki hata umeme ungepanda kwa 50% tusingefanya chochote

Allan Clement

Verified Member
Aug 14, 2013
1,860
2,000
kwanza niwatakie heri ya mwaka mpya..
tafadhali mods naomba huu Uzi usiunganishwe


ni hivi majuzi ilitangazwa kuongezeka kwa asilimia kadhaa kwenye kulipa umeme na watu wakapiga kelele na "ETI" hivi Jana Waziri amepiga marufuku bei isipande na sisi tumeshangilia...

sasa niulize kwani tungefanya nini kwamfano yani?

ajira zimesitishwa tumefanya nini?

nyongeza za mishahara zimesitishwa tumefanya nini?

sukari imepanda bei tumefanya nini?

Ben hajaonekana hadi Leo tumefanya nini?

kodi imepanda tumefanya nini?

sasa Leo eti Muhongo kasitisha bei isipande mnajifanya kufurahi kwani mlupanga kufanya nini endapo asingezuia??
 

mzado

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
931
1,000
duh kweli, hata mimi sielewi nasoma huu uzi ili nifanye nn...:)
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom