Tuache kuweka shida zetu kama ngao ya kuzuia Katiba mpya. Maisha tuliyopitia miaka 6 sidhani kama tupo tayari kupitia tena

Sisi tupo na KATIBA!! Weka hoja sio unadudaduda kama kitenesi
Katiba inayotungwa na wadanganyifu aina ya viongozi wa chadema, na ACT haiwezi kuwa muarobaini wa chochote ktk nchi hii. Mbowe arudishe kwanz katiba iliyokuwa inampa mwenyekiti wa chadema vipindi viwili vya miaka mitano mitano. Na Zito aache ujanja wa kujipa cheo kilicho juu ya mamlaka ya mwenyekiti wa chama chao.
 
Back
Top Bottom