Wee koma komaa (JOKES).
Yaani na mafuriko yote hayo, bado wataka Mvua hadi JF? Uzuri wa Mafuriko ya Dar ni joto linakuwa kali.
Ingelikuwa kule kwetu Kamchatka, hehehee Tatiana utamkimbia 🙂
Ila sema hapo ni mwendo wa Vodka na Kalubasa kwa saaana, mkipozea makali ya Mafuriko na baridi.