Tuache kudharau wachina jamani

Tuache kudharau wachina jamani

pomo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
267
Reaction score
33
kuna kijana mmoja alikuwa na mpenzi wake kwa muda mrefu sana, basi ikatokea siku moja jamaa akapata scholaship kwenda kusoma nje ya nchi, huku nyuma mpenzi wake uvumilivu ukamshinda akatoka na mchina. jamaa aliporudi kutoka masomoni akakuta mpenzi ake anaujauzito; alipomuuliza vp mbona hivi? dada wa watu akamwambia ukweli. Basi jamaa akasema kama ni mchina haitachukua muda itatoka tu, walisubiri hadi miezi 9 ikatimia, unajua kilitokea nini?
 
Back
Top Bottom