El'son
JF-Expert Member
- Jun 3, 2012
- 380
- 324
Habari wadau
Mm ni mkereketwa na mwanchama mzuri wa jamii forum kwa muda mrefu. Ila katika kipindi chote hicho nimekuwa nikijaribu kufatilia mada mbali mbali na jinsi wadau wengine wanvyochangia.
Ni kweli tunatofautiana katika miyadhamo na fikra ila kuna wadau wengine Sijui kama huwa ni masihara au ndivyo walivyo . kuna mada mtu amejenga hoja ya msingi lakini, mtu mwingine badala ya kujibu hoja iliyoulizwa yeye anakuja na majibu yake tofauti yenye ishara ya ubinafsi, dharau na kejeli.
Ningeomba tujikite zaidi kwenye kujibu hoja na tuache kejeli au dharau na kama unaona kuna haja ya kufanya marekebisho bhasi hiyoo nayo ni hoja katika kuleta maendeleo.
Maendeleo hutokana na busara, hekima, na weledi ulionaoa katika kupambanua mambo ya msingi hvyooo sichelei kusema kuwa hata kwenye mada hii hawa ninao wazungumzia wakajitokeza. Yangu machi na vidole, tutakesha pamojaaa.