Tu Tofauti; simple law to get along with anyone

AfroCodes

Member
Jan 27, 2017
79
23
Kila binadamu unaemuona anafikiri Tofauti na Wewe, ana interests tofauti na zako, Amna binadamu wanaofanana 100%

Iyo ina maanisha nini?

TU TOFAUTI


kila binadamu anapenda kuheshimiwa utofauti wake.... Na utapoweza kufanya ivyo 100% utaweza kuishi na MTU yeyote.

Funny how baadhi ya watu wanataka watu wawe kama wao, wapende wanavyopenda wao au kudharau interest au machaguo ya watu wengine katika maisha.

Hatuwezi kuwa sawa,

Wewe ni nani?
Wewe ni utofauti ulionao

.........
 
Back
Top Bottom