Mzalendo39
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 882
- 1,029
Wamekumbuka shuka alfajiri! Wamezidiwa coverage na Halotel, kampuni ya serikali lakini imelala sana labda JPM akiisukuma ingawa kuna watu baada ya miaka 10 wanaweza kuiua, Dawa yake ijisajiri kwenye DSE ili watu waimiliki kwa walau 35%Naiona nchi yangu Tanzania ikisonga mbele ni baada ya kampuni ya kampuni ya simu ya TTCL kuja na huduma ya kifedha
Hatua hii ni kubwa sana italifufua kampuni na kujilikana zaidi
Pia itafanikiwa kutoa ushindani kwa kampuni nyingine za mawasiliano
Hongera Rais Magufuli kwa uzalendo unaonyesha kwa kutanguliza maslah ya nchi kwanza
[HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] kwanza# team mzalendo#
Waweke na huduma zingine kama za malipo ya bilinetc! Nitakuwa mteja wao, maana kwa sasa sina mbadala wa hawa waliopo wote wapigaji.Naiona nchi yangu Tanzania ikisonga mbele ni baada ya kampuni ya kampuni ya simu ya TTCL kuja na huduma ya kifedha
Hatua hii ni kubwa sana italifufua kampuni na kujilikana zaidi
Pia itafanikiwa kutoa ushindani kwa kampuni nyingine za mawasiliano
Hongera Rais Magufuli kwa uzalendo unaonyesha kwa kutanguliza maslah ya nchi kwanza
[HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] kwanza# team mzalendo#
No. Inatakiwa 51% iuzwe kwa umma ili iendeshwe full kibiashara bila stress za kisiasa pale watakapokuwa na full maamuzi yanayotegemea utashi tu wa viongoziWamekumbuka shuka alfajiri! Wamezidiwa coverage na Halotel, kampuni ya serikali lakini imelala sana labda JPM akiisukuma ingawa kuna watu baada ya miaka 10 wanaweza kuiua, Dawa yake ijisajiri kwenye DSE ili watu waimiliki kwa walau 35%
Wao ndo serikali, dawa wawe na huduma bora, wapige promo na wajiweke chini upande wa gharama za huduma kwa miaka kadhaa watasogea tu!!Wamekumbuka shuka alfajiri! Wamezidiwa coverage na Halotel, kampuni ya serikali lakini imelala sana labda JPM akiisukuma ingawa kuna watu baada ya miaka 10 wanaweza kuiua, Dawa yake ijisajiri kwenye DSE ili watu waimiliki kwa walau 35%
Tatizo la Zantel, mambo ya dini naona kama yanaendekezwa sana.Wakomae tu kwenye data, huko kwingine watafeli kama walivyofeli Zantel
Hawa sijui wapojeTatizo la Zantel, mambo ya dini naona kama yanaendekezwa sana.
- Anyway TTCL PESA naona kama jina lefu, wangeita tu " T - PESA" !