Muda si kikwazo na bei yao ni nzuri tu mana 4G ya Ttcl ni tamu haswa kulinganisha na Airtel japo siku 3 ila nawaama Airtel konokono speed siitaki tena, napanga torrent kisha asubuhi wakuta vitu vimejipa
Line zapo zipo poa na mnala unasoma H+ popote pale ulipo,
Shida ni kwamba kwenye simu za smart phone mpaka uweke 3G ndio inasoma kinyume na hapo haikubali