TTCL Shortlisting.

TTCL Shortlisting.

Retreat

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2010
Posts
229
Reaction score
72
Wadau nimesikia kuwa TTCL wameanza kuita watu kwa ajili ya written Interview kwa zile post za IT, kama ICT Security Engineer. Kuna mtu ana taarifa kuhusu hii tetesi?
 
Mimi nimeitwa, nadhani wewe umefulia mkuu
 
Wameita watu toka j3. wataanza na amplitude test then oral interview.
 
wameita watu tokea juma3 kwa ajili ya written interview ijumaaa...reliable source
 
wameita watu tokea juma3 kwa ajili ya written interview ijumaaa...reliable source

Mkuu reliable source ndio wewe mwenyewe au umeambiwa tu na mtu wako wa karibu? Tupe more details ili na sisi tukaulize usikute kama walipiga simu, wengine simu zetu inawezekana zilikuwa hazipatikani au kuna mchezo wa kusahau kukupigia ili kupunguza watu. More info please, maana nami niliomba.
 
Duh, acha masihara, Wewe kupata itakuwa ngumu, tumeshaanza kazi...!! we Hujakualifai!!
 
Mkuu reliable source ndio wewe mwenyewe au umeambiwa tu na mtu wako wa karibu? Tupe more details ili na sisi tukaulize usikute kama walipiga simu, wengine simu zetu inawezekana zilikuwa hazipatikani au kuna mchezo wa kusahau kukupigia ili kupunguza watu. More info please, maana nami niliomba.

kwani kuomba ni lazima upate?ndio maana ya shortlisting....consider urself unsuccessful
 
kwani kuomba ni lazima upate?ndio maana ya shortlisting....consider urself unsuccessful

Hapana sina maana hiyo mkuu, inawezekana umepigiwa simu hukupatikana. Kwani inacost nini kuwauliza kama upo au haupo kwenye shortlisted? Maana kuna sehemu niliomba then walipopiga simu sikuwa hewani ila nilipo ambiwa na a close friend kuwa wameita nilienda na kuwauliza kama na mimi nimo au lah! Walipocheki jina langu lilikuwemo ila hawakunipata kwenye simu. That's why natumia uzoefu huo.
 
Wadau nimesikia kuwa TTCL wameanza kuita watu kwa ajili ya written Interview kwa zile post za IT, kama ICT Security Engineer. Kuna mtu ana taarifa kuhusu hii tetesi?
Retreat; tatizo lako ulipo-retreat...wenzako wali-advance..ona sasa..
 
na mimi nilituma TTCL lkn sijajibiwa, huenda ndo mtoso wenyewe, kwani nitumia partial transcript ya 5 semistas
 
na mimi nilituma TTCL lkn sijajibiwa, huenda ndo mtoso wenyewe, kwani nitumia partial transcript ya 5 semistas
<br />
<br />
transcript ya nini wakati you apply on line and no place to send ur certificate ?
 
Written interview ya kwanza imefanyika Ijumaa saa Nne mpaka saa sita,baada ya two weeks wataitwa waliofaulu kwa ajili ya oral!
 
Back
Top Bottom