Hussein J Mahenga
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 751
- 656
Mimi ni mzalendo, nimeitikia wito wa kurudi nyumbani kwa sababu kumenoga!!
Sasa cha kushangaza, TTCL inapatikana baadhi ya maeneo na maeneo mengine haipatikani kabisa, sijui nini shida.
Lakini pia, ili ifanye kazi, TTCL inahitaji iwe primary card, kwa maana ya kwamba, haifanyi kazi kama net inayosoma ni E, sasa sijui hii maana yake nini?
Mimi nawaombeni TTCL kwamba, hebu rekebisheni na fanyieni kazi mapungufu haya ili tuweze kwenda vizuri, na kampuni liwe la ushindani mzuri.
Asanteni