Mwanongwa
JF-Expert Member
- Feb 15, 2023
- 867
- 805
Hivi ninyi TTCL hii ndiyo nyumbani kumenoga?
Yaani huduma za kifedha kwenu ni chamgamoto kubwa sana tena sana.
Yaani mnashindwa kuunganisha na mitandao mingine.
Pesa zikiingia kwenye namba ya TTCL ni lazima uende kwa wakala na mbaya zaidi mawakala wenu kupatikana ni mtihani mkubwa
Hata huduma ya kulipia bill kwenda mitandao mingine hiyo huduma haipo.
Siyo siri kama mmeshindwa kuendesha shirika kufunga siyo dhambi.
Marekebisho gani mnayafanya mwaka mzima huku wateja wakiendelea kupata shida
Au kwenu ninyi mteja ni fala