Konkmaster JF-Expert Member Joined Nov 18, 2018 Posts 360 Reaction score 291 Dec 11, 2018 #1 Ninao ushahidi TTCL ukijiunga 3GB Hapo unaambulia 2.4GB hili nalo kama sio uwizi ni nini? Kwa TCRA na FCC hamlioni hili ? Sio Mara ya kwanza TTCL wanalalamikiwa lakini TCRA na FCC mko kimya.
Ninao ushahidi TTCL ukijiunga 3GB Hapo unaambulia 2.4GB hili nalo kama sio uwizi ni nini? Kwa TCRA na FCC hamlioni hili ? Sio Mara ya kwanza TTCL wanalalamikiwa lakini TCRA na FCC mko kimya.
Papushikashi JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 11,594 Reaction score 14,382 Dec 11, 2018 #2 Serikali ya kiwizi wizi na makampuni yake ya kiwiziwizi
rikiboy JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 22,163 Reaction score 43,988 Dec 11, 2018 #3 Kesi ya nyani Unampelekea Kima...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]