TTCL kuzindua huduma ya 4G leo

TTCL kuzindua huduma ya 4G leo

mchepuko

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,192
Reaction score
1,418
Kampuni yetu ya kitanzania inazindua Huduma ya 4G Leo kwa wakaz wa Dar es Salaam.

Huduma hii itawezesha kupatikana kwa internet ya kasi kabisa .

Huduma hii itaendelea mikoani apo baadae mwakani, huu ni mkakati wa TTCL kujirudisha kwenye biashara ya simu za mkononi baada ya kuhujumiwa miaka kadhaa na Airtel.

Hongereni sana TTCL
hongera Magufuli.

Hapa kazi tu.

Chanzo: Nimealikwa uzinduzi.
 
kampuni yetu ya kitanzania inazindua Huduma ya 4G Leo kwa wakaz wa dar es salaam....Huduma hii itawezesha kupatikana kwa internet ya kasi kabisa .Huduma hii itaendelea mikoani apo baadae mwakani...huu ni mkakati wa TTCL kujirudisha kwenye biashara ya simu za mkononi baada ya kuhujumiwa miaka kadhaa na Airtel...
hongereni sana TTCL
hongera Magufuli

hapa kazi tu
source:nimealikwa uzinduZ

Hii laana tulioirithi ya kutokuwa na uzalendo inatufanya tushindwe kuthamini mashirika yetu mfano TTCL wana bei nafuu kuliko makampuni yote ya simu lakini sisi hatuoni ilo tunabakia kuumizwa na wezi w mchana kina voda tigo na airtel. MUNGU atukomboe toka laana hiyo.
 
Pamoja na hayo TTCL walijilaani baada ya kutoa masafa ya CDMA pekee wakati watu wengi wanatumia GSM.

Waingie rasmi kwenye ushindani wa biashara ya mawasiliano, hasa upande wa data tunaumizwa sana na haya makampuni, naamini Watanzania ni wazalendo endapo huduma itakuwa nzuri.
 
Hivi TTCL ni kampuni au shirika aiseee...
 
Pamoja na hayo TTCL walijilaani baada ya kutoa masafa ya CDMA pekee wakati watu wengi wanatumia GSM.

Waingie rasmi kwenye ushindani wa biashara ya mawasiliano, hasa upande wa data tunaumizwa sana na haya makampuni, naamini Watanzania ni wazalendo endapo huduma itakuwa nzuri.

Nahisi mkataba walioingia mwanzoni waliingizwa mkenge na viongozi wetu ambao wamewekeza kwenye hayo makampuni wakijua watatuvuna wakibakia na GSM
 
Pamoja na hayo TTCL walijilaani baada ya kutoa masafa ya CDMA pekee wakati watu wengi wanatumia GSM.

Waingie rasmi kwenye ushindani wa biashara ya mawasiliano, hasa upande wa data tunaumizwa sana na haya makampuni, naamini Watanzania ni wazalendo endapo huduma itakuwa nzuri.

walipewa frequency ya GSM Airtel akasepa nayo ..iyo CDMA walifanya kulazimisha tu navosikia
 
Pamoja na hayo TTCL walijilaani baada ya kutoa masafa ya CDMA pekee wakati watu wengi wanatumia GSM.

Waingie rasmi kwenye ushindani wa biashara ya mawasiliano, hasa upande wa data tunaumizwa sana na haya makampuni, naamini Watanzania ni wazalendo endapo huduma itakuwa nzuri.

conflict of interest ndio sababu kwa sababu viongozi wana share Vodacom, Tigo, Airtel , tena mkakati wao ulikuwa ni kuiua kabisa ila wafanyakazi ndo waliiokoa
 
Hakuna laana yoyote ila wenye laana ni Ttcl wenyewe. Walitutesa sana hawa jamaa,ilifika wakati uhonge milioni upate laini ya simu. Hawana tofauti na Tanesco. Unadai shirika halina pesa,mtu akitaka huduma yako ili upate pesa unataka rushwa. Huu ni wazimu. Ttcl wao walitakiwa kuwa wa kwanza kwa simu za viganjani lakini kutokana na rushwa hawakujali hilo,ilivyoanza Mobitel (sijui hata kama wengine wanaijua) walitumia gateway ya Ttcl kwa huduma zao. Cha kujiuliza hapo kwa nini kama walikuwa na facilities hizo hawakuanzisha simu za viganjani wakati ule? Rushwaaaaa
 
TTCL waruhusu line zao kuingia na kutumika katika simu yoyote siyo kama iivyokuwa awali.
 
Hii laana tulioirithi ya kutokuwa na uzalendo inatufanya tushindwe kuthamini mashirika yetu mfano TTCL wana bei nafuu kuliko makampuni yote ya simu lakini sisi hatuoni ilo tunabakia kuumizwa na wezi w mchana kina voda tigo na airtel. MUNGU atukomboe toka laana hiyo.
Ni kweli tuwe wakweli hapa,baadhi ya Mawaziri,Wabunge na Board Members walikuwa wanaihujumu TTCL kila kona,nimeshukuru sana Wizara ya mawasiliano kuondolewa as an Independent entity walikuwa wanaipigia upatu/debe ViaTel/HaloTel kuliko TTCL - Serikali inapaswa kuchunguza kwa kina Kampuni hii ya Vietnam mkataba wao ulikuwa unasemaje maana naona kama walibadirisha gea angani bila shaka kwa kibali cha Wizara na TCRA, pesa walizo vuna wakiweka miundo mbinu za mawasiliano vijijini wakahanzisha Kampuni ya kwao ya Mawasiliano ya simu Nchini hii wapi na wapi??

Kazi ya mawasiliano vijijini ilipaswa kufanywa na TTCL uwezo huo wanao sana lakini basi tu wakapigwa vita na watu walio pewa dhamana ya kujali mashirika yetu ya UMMA kwanza kwa kuyapiga tafu -wakachangamkia makampuni ya kinyonyaji ya kigeni.

Ukosefu wa Uzalendo kutoka kwa baadhi ya Viongozi wetu ni janga la Kitaifa kashfa kama za RAHCO,TPA,TRA nk zipo karibu kwenye sehemu zote nyeti.

Sina nia ya kuwasema vibaya ViaTel/HaloTel,bado nasisitiza kwamba kuna umuhimu wa Dk.Magufuli kuchunguza kwa umakini kilicho jili katika uwekezaji wa HaloTel, kuna kitu hakijakaa sawa pale.
 
Tatzo hawajitangazi kabisa nimeingia website yao sijaona hiyo habari ya 4G...kwa nini ttcl hawauzi line za simu kama haya makampuni mengine?
 
Ni kweli tuwe wakweli hapa,baadhi ya Mawaziri,Wabunge na Board Members walikuwa wanaihujumu TTCL kila kona,nimeshukuru sana Wizara ya mawasiliano kuondolewa as an Independent entity walikuwa wanaipigia upatu/debe ViaTel/HaloTel kuliko TTCL - Serikali inapaswa kuchunguza kwa kina Kampuni hii ya Vietnam mkataba wao ulikuwa unasemaje maana naona kama walibadirisha gea angani bila shaka kwa kibali cha Wizara na TCRA, pesa walizo vuna wakiweka miundo mbinu za mawasiliano vijijini wakahanzisha Kampuni ya kwao ya Mawasiliano ya simu Nchini hii wapi na wapi??

Kazi ya mawasiliano vijijini ilipaswa kufanywa na TTCL uwezo huo wanao sana lakini basi tu wakapigwa vita na watu walio pewa dhamana ya kujali mashirika yetu ya UMMA kwanza kwa kuyapiga tafu -wakachangamkia makampuni ya kinyonyaji ya kigeni.

Ukosefu wa Uzalendo kutoka kwa baadhi ya Viongozi wetu ni janga la Kitaifa kashfa kama za RAHCO,TPA,TRA nk zipo karibu kwenye sehemu zote nyeti.

Sina nia ya kuwasema vibaya ViaTel/HaloTel lakini kuna umuhimu wa Narudia kusema kwamba Dk.Magufuli kuchunguza kwa umakini kilicho jili katika uwekezaji wa HaloTel, kuna kitu hakijakaa sawa pale.

Mhhh! Mkuu kwa kweli nkiliangalia hilo swala kwa undani kweli kuna umuhimu wa kufanya uchunguzi naona ukakasi sana ndani yake.
 
aisee iko bomba vibaya mno ..yaani ukicheki you tube ni kama un anaangalia tv vile....viongozi wa serikali walitaka kuliua hili shirika kutokana na interest zao hawakutaka lijiunge na simu za mikononi...mkataba wao na airtel uliongiwa na serikali unaliumiza hili shirika hadi leo.........4g yao iko bomba vibaya mno tigo airtel na voda wajiandae ......
 
[TABLE="width: 388, align: left"]
[TR]
[TD="colspan: 3"]TTCL 4G LTE WEEKLY PACKAGES[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Validity[/TD]
[TD]Volume[/TD]
[TD]Price (TZS)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7 days[/TD]
[TD]1 GB[/TD]
[TD]3,400[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7 days[/TD]
[TD]2 GB[/TD]
[TD]6,500[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7 days[/TD]
[TD]4 GB[/TD]
[TD]10,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]7 days[/TD]
[TD]6 GB[/TD]
[TD]15,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 3"]TTCL 4G LTE MONTHLY PACKAGES[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Validity[/TD]
[TD]Volume[/TD]
[TD]Price (TZS)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]30 days[/TD]
[TD]5 GB[/TD]
[TD]25,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]30 days[/TD]
[TD]10 GB[/TD]
[TD]40,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]30 days[/TD]
[TD]20 GB[/TD]
[TD]72,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]30 days[/TD]
[TD]40 GB[/TD]
[TD]130,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]30 days[/TD]
[TD]80 GB[/TD]
[TD]240,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]30 days[/TD]
[TD]120 GB[/TD]
[TD]360,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]30 days[/TD]
[TD]200 GB[/TD]
[TD]600,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]30 days[/TD]
[TD]250 GB[/TD]
[TD]750,000[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

JAMII FORUMS LIKE CNN!!! BE THE FIRST TO KNOW!!!!!
 
Back
Top Bottom