(Mda wote) huo ulianza lini?Hahaaa, ati gharama nafuu...
Walikuwa wapi muda wote?
bora kama umeliona hiloHata mimi naona bei ni kama kubwa hivi....!
Nadhani ni eneo wanalotakiwa kulifanyia kazi
Unajua maana ya internet yenye kasi isiyo na kikomo? Maana yake kutakuwa hamna haja ya king'amuzihiyo laki kwa mwezi au laki 2 atalipia magufuli na washirika wake. mna utani na watanzania nyie