TTCL jitahidini kwenda na kasi ya Mhe. Rais

TTCL jitahidini kwenda na kasi ya Mhe. Rais

Wewe ndo hujafanya uchunguzi, Hivi kweli inaingia akilini hivi leo kampuni kuingiza pesa zake kuwekeza katika 2G ? Kama hujui nikufahamishe tu kuwa 2G inapotea kwa kasi na ni generation iliyopitwa na wakati, kiufupi imebaki kwenye nchi maskini. Ilitakiwa uwapongeze kwa ku-invest kwenye 3G & 4G.
Kama bado unalilia 2G basi ujue wewe si mlengwa
asante kwa kunukosha mkuu...haya manyumbu ya Halo.tele si ya kuyaacha salama...ni kuyatupia mawe hadi yafe shubaamit
 
Huyu jamaa CEO wa TTCL kaingia choo cha kike, kuna kituko kafanya Jana ambayo haitamuacha salama. Huyo jamaa hana ujuzi wa kuendesha shirika kubwa kama TTCL, na hii imesababisha achukiwe kupitiliza ndani ya shirika, time will tell. Hakuna anayrmtaka huyu jamaa, mgomo mkubwa sana unanukia
Kama kuchukiwa anachukiwa na mafisadi waliozoea kuliibia shirika.
Hao wenye ujuzi wa kuendesha shirika kama TTCL walifanya jambo gani zaidi ya wizi tu.
Mwacheni Waziri Kindamba afanye kazi ya kuliinua shirika kibiashara
 
TTCL Jitahidini na coverage kuanzia jana mpaka leo hakuna mtandao kabisa, japo kiukweli Internet yao ina kasi kwa baadhi tu ya maeneo na prices zao ni affordable
 
Kwanza line zao ukipiga zinakata hadii urudie rudie mara nyingi. Kwa tatizo hilo nimeamua kuvunja line yao.
 
Hivyo boreshini huduma plz wamama wanafanya kazi kwa mazoea mmewapa computer ambazo daah ni tatizo kwao kabisa niliona.
TTCL wana safari ndefu. kwa kuwa ni ya serkali itachukua miaka kusambaza huduma mikoa mingine. Mbona halotel wameweza kusambaa, kulikoni? Au mtaji mdogo.
 
TTCL mtandao unoongaza Tanzania
Big up Mhe Kindamba natambua uwepo wako maana kwa muda mfupi tu umeweza kusambaza mtandao wa 4g,maeneo mengi nchini
hao wanaoongea ongea ni wa kuasamehe tu naona wanasahau kuwa TTCL ni serikali kwa 100% na manunuzi ya serikali yana
taratibu zake tofauti na hao providers wengine ambao
siyo serikali kwa maana wao wanaweza kuamua kufanya jambo lolote kwa wakati wowote
 
Back
Top Bottom