master09
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 819
- 564
Siku ya Leo Mtandao wetu maarufu TTCL Rudi Nyumbani kumenoga Network iko down toka mchana sasa inasoma 2G kwa mobiles na fiberoptic pia no connection ........
Basi mtoe tangazo tujue kama kunatatizo
Kama kuna mdau pia humu wa TTCL atueleze kunashida gani na itachukua muda gani .....
Basi mtoe tangazo tujue kama kunatatizo
Kama kuna mdau pia humu wa TTCL atueleze kunashida gani na itachukua muda gani .....