TTCL imeanza kubadilika

Daah safi sana angalau vijana wetu watapata kazi kwenye kampuni ya kizalendo tuachane na wa-vietnam wanaolipa vijana 300,000/= (Gross)
ttcl nao wana shida kubwa ya ajira za kujuana! hilo ndio tatizo kubwa la taasis za serikali
 
Lazima nihamie TTCL mobile! Naipenda nchi yangu. Kati ya line zangu hizi mbili mojawapo itabidi inisamehe kwa kweli!
Hata mimi ila inabidi kwa kweli waboreshe huduma zao, wazalendo tutahamia tupo wengi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…