TTCL hatarini kunyang’anywa soko

TTCL fanyeni calculation zenu zote mnazozijua ni kwa namna Gani mtataka mliokoe shirika lakini cha muhimu mjue wateja wa sikuhizi hawataki usumbufu wakati washaisaka pesa kwa shida. Yaan nkitaka vocha ni mpk niende mtaa wa pili wakati vocha za tigo, voda, Airtel ziko dukani kwa jirani yangu. Au nkitaka vocha niweke tigopesa kwanza then nijirushie t..pesa ndio ninunue vocha. Hata kama ni uzalendo Mimi ulinishinda. Lazma mje na mpango mkakati mkubwa wakuweza kupata wateja wa ttcl kwa muda mfupi ili wafanyabiashara wahamasike kuuza vocha zenu na kutoa huduma ya t ...pesa.
 
Hata hiyo voice ni internet tu mkuu
Kinachofanyika ni kubadirisha mb kuwa dak au kuwa sms
Hujaelewa pointi yangu...

Sio swala na namna gani voice au data inasafiri; swala ni tabia za watumiaji zimebadilika; sasa hivi buckets ni voice na data. TTCL wanaweza kuamua ku-deal na broadband data(internet bucket), waache wengine waangaike na voice.
 
wanatokaje wakati wanaacha urithi watoto wao kuendeleza dynast
Wale wazee ni tangu enzi za ttcl sim za mezani za kunyonga, unatarajia leo watakua na ubunifu gan? wote wapo nyuma ya teknolojia. Watoto wao nao watakua mafala wakiamua kutaka kuingia kwene shirika lililo elekea kibla.
 
Silaa amesema ili TTCl iweze kufanya uwekezaji mkubwa linatakiwa kuwa na mtaji wa Dola za Kimarekani milioni 752 lakini hadi sasa shirika hilo lina mtaji wa Sh370.465 bilioni tu.
Anachanya currency ili tusione hayo matrilion yanayohitajika?
 
Leo nimenunua laini ya TTCL!
hasa naitumia zaidi kwa data!
Wameniipress na Bando lao la bufee!
Kwa watumiaji wa chini ya gb 10 kwa mwez Huku ndio kwenye!
Kukimbilia 4g na Huku Bando lenyewe la kuchechemea ni ujinga!

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom