Since leo asubuhi ttcl menu ya chuo wame ondoa boom pack ofa. Bado sitaki kuamini.
View attachment 830132
Boom back ipo..piga *148*30*35#Aiseee! Wamekiondoa leo jana nilijiunga cha 3000 gb 4. Sasa hv nimeangalia siioni boom pack
Kwa bei gan?Usipende kukurupuka ndugu fanya tafit....
Mambo mengine CCM sio mchawi.....
Piga *148*30*35#
Ila wamepunguza GB toka 7 mpaka 5
5000/tshKwa bei gan?
Ngoja nijaribu hii menu, hata mimi nilikuwa kwenye taharuki toka asubuhi maana nilikuwa naangalia salio nikaikosa option ya Boom packUsipende kukurupuka ndugu fanya tafit....
Mambo mengine CCM sio mchawi.....
Piga *148*30*35#
Ila wamepunguza GB toka 7 mpaka 5
Ukifanikiwa ebu fanya mrejesho na kazawad cha vocha ya ttcl pm[i[Ngoja nijaribu hii menu, hata mimi nilikuwa kwenye taharuki toka asubuhi maana nilikuwa naangalia salio nikaikosa option ya Boom pack
Kwa muda gani?5000/tsh
Una roho mbaya kama nanilii huyu......Hizo GB mnafanyia nini?
Au kushinda kwenye porn sites?
Mwezi mmojaKwa muda gani?