Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,920
Ok asanteMwezi mmoja
Ok asanteMwezi mmoja
Nimeona kifurushi cha mwezi cha Data pekee kiko hiviUkifanikiwa ebu fanya mrejesho na kazawad cha vocha ya ttcl pm
Na log off Baba Mkwe
NaaamNimeona kifurushi cha mwezi cha Data pekee kiko hivi
1. GB 2 = 2500/=
2. GB 5 = 5000/=
Kifurushi cha bando cha mwezi.
DK200 (TTCL-TTCL) + DK25 (Mitandao yote) + SMS250 + GB4 = 5000/=
Hii nzuri kiasi chake na mtandao huku Msaginya unasoma vizuri tu wa TTCL, ngoja nirudi nyumbani.!Nimeona kifurushi cha mwezi cha Data pekee kiko hivi
1. GB 2 = 2500/=
2. GB 5 = 5000/=
Kifurushi cha bando cha mwezi.
DK200 (TTCL-TTCL) + DK25 (Mitandao yote) + SMS250 + GB4 = 5000/=
Duh izo Gigabyte 7 ilikuwa Kwa bei gani? Na siku ngapi?Usipende kukurupuka ndugu fanya tafit....
Mambo mengine CCM sio mchawi.....
Piga *148*30*35#
Ila wamepunguza GB toka 7 mpaka 5
Mkuu, ndio maana nikasema sitaki kuamini. mabadiliko kama hayo ingependeza wangetuma sms kwa wateja kuwajulisha.Usipende kukurupuka ndugu fanya tafit....
Mambo mengine CCM sio mchawi.....
Piga *148*30*35#
Ila wamepunguza GB toka 7 mpaka 5
Hili pia ni tatizo. Mara ya kwanza nilifikiri ni kifaa changu kumbe ni wao.Hawa ttcl wameanza upuuzi..internet yao ipo slow,,na bado wameendelea kupunguza MB..sasa wasubiri kuzikwa rasmi
Ni mpaka uwe na line ya chuo au vipi* 148 * 30 * 35 #
Karibu sana mkuuHii nzuri kiasi chake na mtandao huku Msaginya unasoma vizuri tu wa TTCL, ngoja nirudi nyumbani.!