Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,744
- 25,447
AiseeMagari yawe kifaa cha kazi siyo starehe... Engineers wapewe magari kwa ajili ya ku-atend downtimes za minara....
Kuwe na distribution ya towers kwa site Engineers
AiseeMagari yawe kifaa cha kazi siyo starehe... Engineers wapewe magari kwa ajili ya ku-atend downtimes za minara....
Kuwe na distribution ya towers kwa site Engineers
Nasoma commentMtazamo wako khs hilo ukoje mkuu?
Vipi tena kiongozi.!?Aisee
Yaani wamenikera sana,baada ya mkulu kuwapigia chapuo now wanatufokeaHawa jamaa walikuwa sharp sana mwaka 2016 kuja 2018 ila sasa wamebadili vifurushi mwaka huu 2020.
Nani kawashauri wabadili?
Naona PM upo kimyaVipi tena kiongozi.!?
wee jamaa acha zako.Hiyo kampuni haijielewi.Huduma walizonazo wameshindwa kuziboresha na wamekosa kabisa ubunifu.Kuna wakati unapiga simu kwa hiyo line unasikia makelele yasiyoeleweka utadhani uko kwenye simu kuna mtu anakanyaga mabati bana.
Ntayajibu tu kiongoziNaona PM upo kimya
Poapoa, ukipata muda utanikuta inboxNtayajibu tu kiongozi
SeenWaboreshe na hili la MB ilikununua kifurushi kingumine salio libaki Mb 50, ndipo unaweza kuongeza mb zingine. Wafanye kama Halotel unaweza kuongeza MB hata kama salio la mb ni 3Gb utaongeza tu.
Dk 120 Sms 100 na GB 1 siku 3Vipi kuhusu voda maana,niliona 1GB moja kwa 1000 na dakika kibaooo
Naomba muongozooo mkuuDk 120 Sms 100 na GB 1 siku 3
Hiyo menyu ipo Vodacom Tanzania tu.Naomba muongozooo mkuu
Kwa halopesa ukijiunga unapewa 3GB kwa week, na sms na dkk for 3000/=hawa ndo basi tena. walianza vizuri ila sasa wanaenda kubaya. nishatoa line, wenye halotel kuna kifurushi gani kizuri data kwa wiki?
Kwa halopesa ukijiunga unapewa 3GB kwa week, na sms na dkk for 3000/=
Yeah. 4G yao ni hatarihii imekaa poa asante. speed yao iko vizuri?
Hata TTCL wapo vizuri. Ni mwendo wa 4.5GYeah. 4G yao ni hatari