Muokota Makopo
Member
- Jan 9, 2020
- 54
- 95
Watapata akili tu. Watapoteza wateja mpka waisome number. Watu walifata ttcla kwa ajili ya internet wao wanapunguza vifurushi vya internet wanajaza madakika. Ya nini sasa. Nimetoa line nimeweka kwenye kabati mimiHawa jamaa walikuwa sharp sana mwaka 2016 kuja 2018 ila sasa wamebadili vifurushi mwaka huu 2020.
AiseeHapo kwenye point 1 kuhusu roaming nenda kafanye utafiti.
Ttcl hafanyi roaming ya tigo na hana haja ya kufanya roaming.
TTCL haijawahi kufanya kazi kibiashara.Wataalamu wa biashara, miundombinu na wengineo naomba kufahamu
Je Nini kifanyike ili TTCL iwe kampuni ya kiushindani kama ilivyo Tigo, Voda na Halotel?
Maana sahivi wanajikongoja na muda si mrefu wataporomoka kama zamani.
SeenWaweke mawakala wakuu kwa kila kata na wilaya wapewe access ya service desk pamoja na mauzo ya bidha zao kama vocha,simu,laini,modem n.k.
TTCL au Halotelhawa ndo basi tena. walianza vizuri ila sasa wanaenda kubaya. nishatoa line, wenye halotel kuna kifurushi gani kizuri data kwa wiki?
TTCL au Halotel
1. Kuboresha na kusambaza minara kwa wingi.
Jitoeni kwenye ROAMING ya Tigo, jengeni minara yenu.
2. Kufungua matawi au ofisi zao.
Vuta picha pale Kibaha, ofisi ipo sehemu moja tu. Je huko vijijini itakuwaje?
3.Ondoa wazee, wekeni vijana.
Wazee wameshachoka wapo zama za Ujima(Communalism) wakati vijana tupo dunia ya 3.......
AaaahWaache kutoa gawio badala yake hizo retained earnings wakaboreshee/wakapanue huduma zao.
Mtazamo wako khs hilo ukoje mkuu?Aaaah
Magari yawe kifaa cha kazi siyo starehe... Engineers wapewe magari kwa ajili ya ku-atend downtimes za minara....Wataalamu wa biashara, miundombinu na wengineo naomba kufahamu. Je Nini kifanyike ili TTCL iwe kampuni ya kiushindani kama ilivyo Tigo, Voda na Halotel?
Maana sahivi wanajikongoja na muda si mrefu wataporomoka kama zamani.