Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,781
- Thread starter
- #21
Snap shot tupate aidia ya bando zaoZamani walkuwa wanatumia technology ya CDMA 2K ndo kulkuwa na hzo shida za line kutokutumika na phone nyingne lkn kwa technology waliokuja nayo sasahiv wanaanza kutumia GSM, 3G wanatumia UMTS na 4G LTE sidhan kama utaexperience hzo shida