Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,780
Habari za humu wana JF!
Mi najiuliza kila siku ila huwa sipati majibu,
Ila humu jf huwa napata angalau pa kutolea mawazo yangu hivyo kushea mawazo ya watu.
Kuna kipindi TTCL ilianza kuuza simu za kiganjani, ambazo ili uzitumie ilikuwa lazima utie laini yao wenyewe,
Lakini haikuwa simu tu,
Hata laini yao haikuwa na uwezo wa kutumika kwenye simu nyingine.