Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
me kwangu fresh tu 4g na nimeconnect kwenye pc. inakimbiza bila shida.Sijajua kama ni kwangu tu au ni vp, Nimezoea spidi ya 1MB kwa sekunde ila hapa kwa sasa jana na leo spidi ya kudownload imeshuka kwenda 60KB kwa sekunde, Nimezima updates.
Bando linalotumika ni lile la buku unapewa MB 500 mchana na kuanzia saa 2 usiku GB 3.5 hadi kukuche
Kwenu hali ipoje.
inawezekana umekaa sehemu mbayaSijajua kama ni kwangu tu au ni vp, Nimezoea spidi ya 1MB kwa sekunde ila hapa kwa sasa jana na leo spidi ya kudownload imeshuka kwenda 60KB kwa sekunde, Nimezima updates.
Bando linalotumika ni lile la buku unapewa MB 500 mchana na kuanzia saa 2 usiku GB 3.5 hadi kukuche
Kwenu hali ipoje.
Yeah nili restart lakini wapime kwangu fresh tu 4g na nimeconnect kwenye pc. inakimbiza bila shida.
umejaribu kurestart modem?
Sio kila ukiona Unadownload File taratibu ndo useme Internet haiko poa. Kina baadhi ya Servers Downlink speed ya kupakua File ina spidi ndogo
Hilo tatizo sio kwako pekee mimi leo siku ya nne hali sio kabisa mpaka facebook nafungua kwa shida kitu ambacho sio kawaida kipindi.cha nyumaSijajua kama ni kwangu tu au ni vp, Nimezoea spidi ya 1MB kwa sekunde ila hapa kwa sasa jana na leo spidi ya kudownload imeshuka kwenda 60KB kwa sekunde, Nimezima updates.
Bando linalotumika ni lile la buku unapewa MB 500 mchana na kuanzia saa 2 usiku GB 3.5 hadi kukuche
Kwenu hali ipoje.