abdulrahim
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 408
- 286
vifurushi vyao vikoje
kweli wewe sio mtumiaji mzuri wa net! GB 3 wiki nzima!Mimi huwa nanunua data pekee kwa TZS 3400 napata 1GB wiki nzima na pia Social Network zote ni bure!
soma vizuri ni GB 1 sio 3kweli wewe sio mtumiaji mzuri wa net! GB 3 wiki nzima!
mkuu ungeeka screenshot ya speed unayopata ingekuwa vizuriWakuu hali zenu!!!
Kwakweli nimekuwa nikitumia mitandao ya kampuni tofauti tofauti hasa kwenye maswala ya Internet lakini nimeonja radha ya TTCL 4G kwa DSM na ZNZ Mashallah jamaa wako vizuri saana kwakweli.
Naweza kustream video vyema kabisaa na hata zile short films za social network kama Instagram vids yaani zina flow kwa haraka zaidi.
Kwa hakika hawa jamaa wamejipanga vyema!!
Hongera kwao. Wajitahidi kasi hii iwe endelevu zaidi.
Tena kama mm natumia lain ya chuo buku gb1.2 kwa wiki,,,huko kama 3400 endeleen,nikiweka halotel ya 3000 naata GB 3.6 nadownloud series mwanzo mwshoMhh hili ni tangazo gb 1 kwa 3400 huku halotel 1200 1.2gb
halotel mpambanishe na 3g wenzake kama airtel anaekupa 2gb kwa buku (uni) hii ni 4g, mitandao ya 4g ni Tigo, voda, Ttcl, smart, smile na zantel (wanatumia net ya tigo)Mhh hili ni tangazo gb 1 kwa 3400 huku halotel 1200 1.2gb
Mimi huwa nanunua data pekee kwa TZS 3400 napata 1GB wiki nzima na pia Social Network zote ni bure!
halotel mpambanishe na 3g wenzake kama airtel anaekupa 2gb kwa buku (uni) hii ni 4g, mitandao ya 4g ni Tigo, voda, Ttcl, smart, smile na zantel (wanatumia net ya tigo)
Tatzo sio 4g na 3g ila tatzo kwao ni bei kubwa kupata hiyo 1gb mm natumia halotel na tg na tgo ninajiunga 1gb kwa 1500 na ni line ya 4gb ,,hata kama unatetea kuhusu 4g ndio utashangaa mwenye line ya ttcl ya 4g unakuta hana simu inayosupport 4g ,,hapo ndio utajuaa. Kwann gwajima na kikwete sio marafikihalotel mpambanishe na 3g wenzake kama airtel anaekupa 2gb kwa buku (uni) hii ni 4g, mitandao ya 4g ni Tigo, voda, Ttcl, smart, smile na zantel (wanatumia net ya tigo)
ha ha ha ha! dah wabongo. ila halotel ya mveitnam iko poa au sio?Nilinunua line ya TTCL ya 4G kwa tshs. 2000/-,nikaweka kwenye simu. Kuvuka mataa ya ubungo network ikakata,sijawai itumia tena mpaka leo hii.
nahisi ni tangazo...tena usikute mwajiriwa wa hapoHii ni taarifa au tangazo?