Tsvangirai hoi kwa Mugabe

Inaonekana hata uwezo wako wa kufuatilia mambo ya siasa ni mdogo kama unashindwa kujua uchaguzi wetu ni 2015 iweje ulete topic hapa ambayo aina mashiko na ambayo aina mtizamo? Kajipange tena na ccm yako.
Hhaaahaaaaaaaaaa.Hujui kuwa 2014 ni uchaguzi wa SM??Ama Kweli bendera fuata upepo.
 
na wewe unatupigia kampeni hapo? hatudanganyiki na pia nenda kachukue buku saba yako pale lumumba
 
Ningejua thread yakipuuzi hivi nisinge ifungua,.
Nadhani haujafkiria kabla ya kuandika..
Shame on you..
 

You have to be delusional to think meaningful change will come to TZ without a price. True, Zimbabwe & Kenya learned it the hard way, but it was necessary to dispel any fairy tales that lingered before. Even the modern democracies around the world went through turmoil to get where they're today. If you think you'll get there by being a sideline watcher holding hands and singing 'kumbaya', you're seriously deluded.
 
mugabe amijidhihirisha ni mtetezi wa mali za umma, kutokujipendekeza kwa wazungu, kutohitaji misaada ya kipuuz inayoendana na mikataba ya kina mangungo, hana muda wa kuhubiri injili ya soko huria, amewatoa wazimbabwe ktk moto wa jehanam wa kilimo kwanza kwa kurudisha mashamba kwa wazawa..... huyo ndio kiongoz atayependwa na waafrika wote kwan maendeleo watu ndio maendeleo halisi sio kujisifia umetembelewa na obama na xi jinping!!!!!!!!!!!! hata ccm wakija na sera kama hizo hatuna sababu kwa nini tusiwachague!!!
 
Huyu mzee atakuja kufia madarakani. Yaani miaka 30 na ushee, na bado anang'ang'ania madaraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…