Tsunami ya Kinana yaimaliza CHADEMA Gairo

Tsunami ya Kinana yaimaliza CHADEMA Gairo

Kageuka

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2012
Posts
241
Reaction score
59
Kinana amewapokea wenyeviti sita wa CHADEMA wa kata za wilayani Gairo na wafuasi wao zaidi ya 286 katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Gairo jana.

Mmoja wa wafuasi wa CHADEMA aliyekuwepo mkutanoni alisema kwa masikitiko

"hii tsunami balaa, sasa hapa CHADEMA tumebaki na nini? Nadhani swala la Lwakatare linakimaliza chama hiki,bora wangemkana tu tukabaki salama"

Je kumkana Lwakatare ni dawa?
 
Kinana amewapokea wenyeviti sita wa Chadema wa kata za wilayani Gairo na wafuasi wao zaidi ya 286 katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Gairo jana.
Mmoja wa wafuasi wa Chadema aliyekuwepo mkutanoni alisema kwa masikitiko
"hii tsunami balaa, sasa hapa Chadema tumebaki na nini? Nadhani swala la Lwakatare linakimaliza chama hiki,bora wangemkana tu tukabaki salama"
Je kumkana Lwakatare ni dawa?

:yo:Kumkana Lwakatare sio dawa!!! CDM Wanapaswa wajue bado ni wachanga kwa CCM!!! Miaka 36 madarakani sio kitu rahisi na cha mchezo!! Wakaze buti na wawe wavumilivu!!!
 
Kesho cuf wakipita utaona tena tsunami wafuasi 300 wa ccm warudisha kadi na kuhamia cuf.
Kipimo ni kuitisha uchaguzi tutajua.
 
Mfa maji haishi kutapatapa,ccm maji shingoni wanahangaika kujinasua
 
Kinana atakuwa kamwaga pesa nyingi mno za walipa kodi.
 
Ukiwa unafilisika unatandaza kanga doti moja duka zima ili kuonyesha limejaaa unamdanganya nani wateja wanajua duka limefika kikomo!!!!!!!!!!!!!!
 
Hivi kila mwanachama anayejiunga na CCM ni wa CHADEMA? hivi kama CCM wanatafuta wanachama mpaka leo wakati walikuwa nao tangia miaka 36 CDM, CUF, NCCR, TLP, CCJ n.k. watafanya nn? Hebu leteni habari nyingine bana. kama CCM kingekuwa ni chama kipya hapo hii habari ingekuwa na mashiko. Asubuhi njema.
 
Kumbe Gairo nako ni kanda ya kasikazini.Hao wanachama wote wa Chadema wametoka wapi?.
 
...kuna vijana wake wapo busy hifadhi ya Wami-Mbiki wanamalizia kukusanya mzigo...
 
Wanajua ugaidi tu hao siku hizi.Siasa zimewashinda
 
Kinana amewapokea wenyeviti sita wa Chadema wa kata za wilayani Gairo na wafuasi wao zaidi ya 286 katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Gairo jana.

Mmoja wa wafuasi wa Chadema aliyekuwepo mkutanoni alisema kwa masikitiko

"hii tsunami balaa, sasa hapa Chadema tumebaki na nini? Nadhani swala la Lwakatare linakimaliza chama hiki,bora wangemkana tu tukabaki salama"

Je kumkana Lwakatare ni dawa?

CCM siku hizi inatumia OIL chafu?
 
CCM bwana...! Kazi kwelikweli....! Leo hii wanaangaika kutafuta wanachama! Ingali ya kwamba wapo kwa muda wa miaka takribani miaka 36!Ok nisahihi,je nikweli kabisa,mwanzo mwisho kwenye hotuba yenu mnaongelea mambo yanahiusu chadema badala ya kuongelea sera zilizomo kwenye chama chenu...! Kama unaona aziuziki niheri kuamasisha wananchi wananchi wajitume kwenye maendeleo ya kiuchumi ili kuisaidia serikali yenu kuliko mnavyofanya sasa katika kuisaidia chadema kwa kuipa airtime ya kutosha. Ila poleni sana kwa ndio mnajifunza siasa baada ya miaka 36 kupita. CCM OYEEE.
 
Kinana amewapokea wenyeviti sita wa Chadema wa kata za wilayani Gairo na wafuasi wao zaidi ya 286 katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Gairo jana.

Mmoja wa wafuasi wa Chadema aliyekuwepo mkutanoni alisema kwa masikitiko

"hii tsunami balaa, sasa hapa Chadema tumebaki na nini? Nadhani swala la Lwakatare linakimaliza chama hiki,bora wangemkana tu tukabaki salama"

Je kumkana Lwakatare ni dawa?
Subiri Chadema nao waje hapo Gairo ndo uje na hii ngonjera yako.
 
Baba maliza chama cha kihuni. Chama kinachochea chuki eti Rais ea watanzania mdini.
 
Back
Top Bottom