Lokissa
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 7,445
- 2,507
ni kweli ilikuwa tsunami, cheki nyomi ya watu
ilibidi kuwahonga hela waliohuduhria pia.
wale wazee walioahidiwa maisha bora tangu enzi za mwalimu na bado wanasubiri kuona hayo maisha bora licha ya kuishi katika nyumba za tembe
na maisha ya umaskini wa hali ya juu.
wanachadema wengi na wapinzani walirudisha kadi zao kama picha inavyojieleza.
hata wanafunzi wa shule walikuepo kudhihirsha maisha tsunami ni kwa kila rika.
KWELI CCM NI TSUNAMI NA INAZIDI KUPENDWA NA RIKA ZOTE.
PICHA KWA HISANI YA MICHUZI BLOG