TSHs hazitoshi Tanzania

YoungPastor

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
804
Reaction score
1,401
Habari mdau ifuatayo ni meseji ya kampuni moja hapa nchini ikitoa taarifa kwa wafanyakazi wake baada ya malipo kuchelewa.
Let it be Kampuni X

"HABARI TIMU, TAARIFA MUHIMU!

Kuna ucheleweshaji wa mishahara kwa wafanyakazi wanaolipwa kila mwezi. Kampuni X imeshafanya malipo ya Dola za Marekani kwa benki, lakini benki haina Shilingi za kutosha kubadilishana kutokana na changamoto zilizokuwa nje ya uwezo wetu Kwa sababu hiyo, mishahara haijatolewa bado.

Kwa sasa, hatujapata tarehe rasmi kutoka benki, lakini idara ya fedha inaendelea kufuatilia suala hili kwa karibu. Tunaomba tuwe wavumilivu katika kipindi hiki kigumu wakati mchakato wa malipo ukiendelea kufuatiliwa." Mwisho wa kunukuu.

Swali likaibuka inawezekanaje benki kuishiwa currency ya nchi yake??

Wenye uzoefu wa mambo ya pesa watusaidie tuelewe?

Note; hii ni solved issue
 
Sio kweli na haiwezekani labda utufafanulie zaidi.
 
maneno haya sio mageni mjin hapa labda kwa wageni,. hizo ua ni softcated speach il finance depertment wafanye kaz zao kwa uhuru mana weng wa watumishi mwez huu uhitaj mshahara mapema zaidi kwa sababu tofaut tofaut
 
Kuna mchezo unafanyika Sasa huu ni uhujumu uchumi, Rais anasika anasema kabisa nasikia nimeambiwa shilingi zimepungua badala ya Dola. Sasa BOT wanafanya kazi Gani kama hata kuprint pesa hawataki
 
Mbona nasikia dola imeshuka wajuzi wanasema sh. Sasa imepanda thamani na ipo available kwa kusaza.....ama selewi
 
maneno haya sio mageni mjin hapa labda kwa wageni,. hizo ua ni softcated speach il finance depertment wafanye kaz zao kwa uhuru mana weng wa watumishi mwez huu uhitaj mshahara mapema zaidi kwa sababu tofaut tofaut
Duh kumbe ni kawaida!
Ila ni kuikosea nchi coz ilifika mahali watukuja wa Kampuni X wanaibeza nchi yetu. Mfano Kuna mmoja akisema " hahaha kumbe hii kampuni yetu ina hela kuliko benki zote za hapa Tanzania"
 
Kuna mchezo unafanyika Sasa huu ni uhujumu uchumi, Rais anasika anasema kabisa nasikia nimeambiwa shilingi zimepungua badala ya Dola. Sasa BOT wanafanya kazi Gani kama hata kuprint pesa hawataki
Dah! Inafikirisha sana. Pengine Kuna utaratibu; au wanatakiwa kuidhinishiwa ughaibuni!!!?!?
 
Huo ni uhuni wa hiyo kampuni. Hiyo kampuni ina wage bill kubwa kiasi gani kiasi kwamba zikosekane hela za kuwalipa?
 
Huo ni uhuni wa hiyo kampuni. Hiyo kampuni ina wage bill kubwa kiasi gani kiasi kwamba zikosekane hela za kuwalipa?
Ni maswali ambayo yalikwepo miongoni mwa wafanyakazi pia. Jibu la kitaalamu ndo tunalitafuta humu kwa wadau.
 
Kwamba mnawaona watanzania wote ni mandondocha kiasi kwamba ni rahisi sana wao kuamini hizi cheap propaganda za uchawa hili kufanya wizara ya fedha ionekane inachapa kazi sio?

Nchi yenu hii in very insignificant kwenye global market yoyote ile na haiwezi kutolea kwa namna yoyote ile hii pesa yenu ya madafu ikawa ni adimu kuliko the mighty dollar.

Acheni kumtafutia bibi chura sifa ambazo Hana wapumbavuu nyie
 
Mmedanganywa
 
Mkuu si wanasema mama kashusha dollar saivi ni 2300 Tshs
 
Sasa inakuwaje wakati dollar imeshuka?
Assume wewe wakati shilingi inashuka thamani ukajaza Midola kibao na kuuza hela ya madafu ili uwe na Dola ambayo ni stable

Then unapata Taarifa dola inashuka thamani imetoka 2700 hadi 2600 utafanya nini? Utauza dola zako haraka haraka, tegemea Matajiri wengi wamechange hela zao kwenda TSh kabla Dola haijafika 2375, hii ina punguza Mzunguko wa TSh.
 
Kwaiyo tafsiri yake ni kwamba mama ameweza?
 
Huo ni uhuni wa hiyo kampuni. Hiyo kampuni ina wage bill kubwa kiasi gani kiasi kwamba zikosekane hela za kuwalipa?
 
Pole Mkuu Hamia Kenya Sisi Watz Tumemridhia Huyo Unaemuita Chura Awe Kiongoz Wetu Na Hiyo 2025 Anapita Kiulaiiiiiin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…