Kama nimemuelewa vizuri mtoa mada ni kuwa anahitaji anayeweza kutumia hizo mashine kwa ajili ya kuprint hivyo alivyovitajamkuu unapatikana wapi mm ninaprint kwa kutumia heat transper , screen printing, computerizing n.k.
karibu nipm mkuu
Hebu jaribu kuanglia hii video inaweza kukusaidia My New Heat Press Machine - YouTube hii itakusaidia zaidi kama unataumia inkjet printer kama ni source ya picha au chochote unataka kuprint kwenye hivyo vitu vyako, http://www.youtube.com/watch?v=sH3Cmpm9z08Habar zenu wapendwa
Nahitaji msaada wa mtu anayewez kutumia heat transfer machine kwa ajili ya ku print tshirt ..kofia..sahani.mug...keyholders. .table mates.
Asanteni
Kama nimemuelewa vizuri mtoa mada ni kuwa anahitaji anayeweza kutumia hizo mashine kwa ajili ya kuprint hivyo alivyovitaja
ladyfurahia unadigital prnta ya tshet?kama unayo bei gani kwa tshet moja full color,size A3?
Usijali hata kidogo, wananchi hawajanitimua badoasante kunielewesha ila nilishaongea naye
vipi mkuu umeshakuja nchini au bado?